Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ni kweli pesa ndio jawabu la mambo yote?
Je pesa inaweza kununua furaha?
Na ktk mapenz pesa inachukua nafasi gani?
20180604_154708.jpg
 
mapenzi pesa
honga gari sasa utakuta bitozi analiendesha
 
Ndugu pesa ikikosa mapenz yanaanza kuwa goi goi utaskia unaambiwa u dont care, suprise zinaisha outings, shoppings...
Pesa ina nafasi yake aisee
 
Tafuta wenye hofu ya Mungu na wasio na makuu, utakuta bado yapo moyoni sio mfukoni. Tatizo watu mnakuwa na wapenzi mwenye marafiki wenye kutoka na vibosile simu za gharama sa hapo kwann nae asiingie tamaa
 
Tusikalili maisha jaman mapenzi ya kweli yapo sana. ...true love inajengwa haiji tu Ivi ivi
 
Get money find a lady gegeda her and forget about her....simple.
Women look fo the security that money provides nothing else.
 
Tafuta wenye hofu ya Mungu na wasio na makuu, utakuta bado yapo moyoni sio mfukoni. Tatizo watu mnakuwa na wapenzi mwenye marafiki wenye kutoka na vibosile simu za gharama sa hapo kwann nae asiingie tamaa
Mwenye ofu ya Mungu unamjua aje kwasababu wanawake wa sasa ata ukamtafute kanisani au msikitini akiamua anakubadilikia tu
 
Back
Top Bottom