Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kwa sasa mapenzi ni BANDO ukiwa na bando lako ni mapenzi tosha
 
Papuchi bila pesa kupata kirahisi inategemea na nyota yako.


Pesa imefanya mambo mengi sana kuwa kitongaaa yasiyowezekana na yanayowezekana
 
PENZI HALINUNULIWI KWA PESA UPENDO WA DHATI HUWA HAUNA TAMATI NA PENYE MARUMBANO MWISHO MWEMA NI MAPATANO

USIMNYANYASE MTU WA KARIBU YAKO KWA KIGEZO CHA PESA KUMBUKA UTU UNANAFASI KUBWA SANA KATIKA MAISHA YAKO
FB_IMG_1530557756445.jpg
 
KUMEKUCHA NI TUMAINI LANGU KWAMBA NYOTE NI WAZIMA WA AFYA.

"MAPENZI NA PESA" NI MOVIE INAYOGUSIA KWAMBA DUNIA YA SASA BAINA YA MTU NA MWENZA WAKE HAKUNA MAPENZI YA KWELI KAMA PESA HAITOKWEPO.

NINI MTAZAMO WAKO JUU YA HILI?, BOFYA LINK UITIZAME MOVIE HII KISHA UNIPE MAONI YAKO.


MSISAHAU KU-LIKE,SHARE NA KU-SUBSCRIBE NDUGU ZANGU. ENJOOY!!
 
PESA ndiyo sabuni ya roho. Pesa ni kichocheo cha furaha. Ukiwa na pesa unajiamimi. Unaweza kufanya unalotaka wakati wowote. Ndiyo maana wengi wanadiriki kusema tafuta pesa ili uwe kama mfalme.
Wanaosema pesa ndiyo kila kitu wana hoja. Pesa inaweza kukufanya umfurahishe mpenzi wako kwa kumnunulia zawadi. Kumnunulia mapambo ambayo yatamfanya awe na amani kwa wakati husika. Yawezekana kuna vazi alikuwa akilipenda, unapomnunulia, anafurahi.
Unapokuwa hauna kitu ni rahisi kukimbiwa na kuachwa

Mapenzi ni pesa na pesa ni mapenzi
 
hapo umezungumzia matumizi ya pesa kwenye mapenzi, ila hujamaliza kuzungumzia mapenzi

pesa si kila kitu kwenye mapenzi ila ni kitu
 
ukita uwamini pesa aiwezi nunua furaha kwa mwanaume uwe una uwezo wa kudindisha utaona dunia imekuelemea kwa mwanamke auna kizazi utajiona si chochote ata kama utakuwa tilioenea
 
Back
Top Bottom