Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,094
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama kawa....!!!na Bavaria non alcohol si unajua mie sio mnywajii wa vileweshoWoyooooooooo
[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama kawa....!!!na Bavaria non alcohol si unajua mie sio mnywajii wa vileweshoWoyooooooooo
Pesa zipo za mambo ya msingi tuu.Khaaa wala mm sipo huko ya mishaki ni yetu tu ebu toeni hela acheni maneno
Sio tupewe pesa!!!unajenga na kuboresha ubavu wakoo!Mishkaki kwa lipi??? Kutetea mpewe pesa?? Dah
Kwa akili za kuku kama hizi nyie wanawake wa dunia ya tatu mnipishe tu.Ahsante naongezea nyama
Wanaume wengi kweli wa kizazib1980's kuja juu ndo walalamishi kweli kwenye hela!
Mimi ni ke nahitaji kupendeza,kupendwa, kuhudumiwa n.k mzazi wangu part Yake ilishaisha its ur time meenn!!!!
Nipe nikupe mapenzi ya dhati!!nikupende upendeke sio mpk uwe na mamilioni mtoaji hata kwenye laki ya mshahara atampa mpenzi wake 2000 na ataridhika asie mtoaji hata akiwa na Mamilioni ya fedha hakupi Ila atalalamika hana kila siku.
Ndo maana mwatuambia twawafata wazee umri wa baba zetu sio nini...they know what we want,at what time and how to give us!!!!!!na tunatuluzana tuliii papara hatuna
Ninyi endeleeni kututukanaa tuu kua we r gold diggers..
Hatujaanza sisi kuhongwaaa walianza Kina Delila Wa Samson sembuse sie!![emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nalifahamu hilo jumapili itapendeza zaidi tutaenda hapo[emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] kama kawa....!!!na Bavaria non alcohol si unajua mie sio mnywajii wa vilewesho
Hahaha pesa ina sehemu yake kwenye mapenzi we mzee wa mita 200 labda itokee tu labda mwenzio awe hanaPesa zipo za mambo ya msingi tuu.
Hivi unajua maandiko hayajasema tuwape pesa.Sio tupewe pesa!!!unajenga na kuboresha ubavu wakoo!
Sawa hongera we mwenye akili za mbwa na ubarikiwe pia na sisi hatuna haja na weweKwa akili za kuku kama hizi nyie wanawake wa dunia ya tatu mnipishe tu.
Safi sana mida flani amazing!!!!!Nalifahamu hilo jumapili itapendeza zaidi tutaenda hapo View attachment 754501
Pesa ina sehemu ipi?? Mimi enzi hizo nikiombwa pesa yani mapenzi yote yanaishaHahaha pesa ina sehemu yake kwenye mapenzi we mzee wa mita 200 labda itokee tu labda mwenzio awe hana
Wewe unafaaa kabisaaaMe hata kama sikupendi siombi pesa...kwani baba yangu....kwanza pesa ya kupewa aina thamani.
Kwa kipindi hicho kwa sasa usinipe pesa ila nihudumie basi inavyotakiwa tatizo walalamishi mnoo na mwwpenda kujivictimize sanaaHivi unajua maandiko hayajasema tuwape pesa.
Sio mpaka uombwe wengine wakina sie hata kuomba hatuwezi mwanaume unatakiwa tu ujue wajibu wako narudia tena labda kama uwe hauna pesa lakini kama unazo sio mpaka uombwe mpe tu mpenzi wako pesaPesa ina sehemu ipi?? Mimi enzi hizo nikiombwa pesa yani mapenzi yote yanaisha
Mida yetu ile ileSafi sana mida flani amazing!!!!!
Sanaa tu!Mida yetu ile ile
Umenenaaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mapenzi na pesa ni vitu viwili tofauti sana, na matumizi yake yako tofauti sana
Pesa hufanya kukidhi mahitaji yenu tu ambayo siyo lazima yatimizwe na upande mmoja wa wapenzi, haya mambo ya kuwa lazima ahudumiwe mwanamke pekee ni desturi na mila tu ambazo kulingana na uhitaji wa haki sawa kwa jinsia zote ktk nyakati hizi inaondoa kabisa dhana ya mwanamke kuwa tegemezi wa huduma
Huduma huendana na uwezo wenu wahusika, na hili ndio hufanya mapenzi mengi kujifia kifo cha kawaida sababu ya kushindwa kupima kipato na matumizi ya mwenzi wake, hivyo mwanaume kujikuta anabeba mzigo mzito sana moyoni mwake kiasi ambacho inafika mahali anashindwa kuhimili
Mapenzi na pesa ukiyafanya yaendane bila kuyatenganisha basi hapo hakuna upendo ndani yake ila kuna kutumika tu, na siku huna uwezo wa kuhudumia utakimbiwa na kwenda huko ziliko
Mwanamke kama una kipato kikubwa kuliko Mme/mchumba/bwana n.k yanini kuforce lazima huduma zako upate toka kwa huyo mwandani wako! Maisha ya leo ni kutegemeana
Umuhimu wa pesa uko kila nyanja hauiishi kwenye mapenzi pekee yake
Hamna huo ni muda wa wazazi kukuhudumia. Au ufanye kazi ya kupata kipato cha kujikimu.Kwa kipindi hicho kwa sasa usinipe pesa ila nihudumie basi inavyotakiwa tatizo walalamishi mnoo na mwwpenda kujivictimize sanaa