Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Highlight yake iko hivi:

Pesa hufanya mtu/watu kupata huduma nzuri na bora (maisha mazuri)

Maisha mazuri (huduma bora) huleta aman ya nafsi (peace of mind)

Aman ya nafsi (peace of mind) hujenga upendo ndani ya familia

Upendo ndani ya familia huleta mapenzi ya kudumu

Sasa waweza kujijibu swali mwenyewe

Umeongea vizuri Sana.
But naomba nikuuulize.
Masikini wao hua hwana furaha??
Katika mapenz
 
Wasalam, natumaini mko vyema kabisa,

Directly to de main point;
Hua ninajiuliza sana hili swali na sijawahi kupata jibu muafaka kabisa.
Nimeona nilete hapa kwenu huenda nikapata kujua zaidi.

Hivi pesa ina nafasi gani katika mapenzi?
Maana katika hali ya kawaida naona wengi hushindwa mahusiano kwa kigezo cha kipato hasa kwa wanaume na kwa mbali wanawake. Hali ya kua na pesa au kutokua nayo inaathiri vipi mahusiano ya watu hawa wawili?

Nawasilisha.
huwezi tenganisha fedha na mapenzi hasa ktk dunia ya leo
 
Swami langu bado lipo pale pale.
Mbona wasio nazo wa wanapendana pia???
Wao hawaoni umubimu wa pesa
sujui unazungumzia pesa ya aina gani ktk mapenzi kwa sababu hata mchakato mzima wa mapenzi pesa hutumika labda wewe utuambie ni wapi katka mapenzi pesa haihusiki kabisa ndo tukusaidie,sababu hata ukitaka kumtafuta huyo mpenzi lazima muwasiliane,na mawasiliano inataka pesa
 
Yani pesa Kama pesa ya kawaida unayo ijua ww.
Bila kuangalia utajir au umasikin
 
Pesa haina nafasi Ila tumeiingiza na kuipa nafasi kubwa ,

Pesa hanunui penzi bali inanunua ngono na kuongeza unafiki katika mapenzi.
 
Ungeukiza kwanini mapenzi baina ya Adam na Hawa hayakutegemea pesa, ningekujibu ni kwakuwa pesa haikuwepo na walikuwa pea moja tu.
Ukitaka gari, nyumba, shamba zuri lazima uwe na pesa, pesa ndio hununua/hugharimikia chochote kizuri au kibaya ili kimatikane au kukamilika, mapenzi ni bidhaa kama zilivyo bidhaa nyingine, lazima ugharimike kuzipata, gharama yoyote ni pesa.
 
Mkuu.
Mapenzi ya pesa n unafiki.
Sis tunaiita ngono na sio mapenz.
Mapenz yana hisisha hisia yola moyon na sio hivyo unavyo dhani
 
Highlight yake iko hivi:

Pesa hufanya mtu/watu kupata huduma nzuri na bora (maisha mazuri)

Maisha mazuri (huduma bora) huleta aman ya nafsi (peace of mind)

Aman ya nafsi (peace of mind) hujenga upendo ndani ya familia

Upendo ndani ya familia huleta mapenzi ya kudumu

Sasa waweza kujijibu swali mwenyewe
Thomas 10
Your Answer is excellent and intellectual, I award you a highly recognisable merit.
Wote, mwanzilishi wa mada, wachangiaji na wasomaji jibu sahihi na la ukweli ndilo hiloooo!
Money is the root of all pleasures in life!
 
Hahaha.
Sawa sawa mkuu
Asante mkuu umelielewa hill mpaka ukacheka!
Huo ni ukweli ati!.......iko Siku Bakhresa ataishiwa? Alijipanga! Huyo in mkubwa sana hafai hata kutolea mfano. Mtazame Joti na useme Siku ayaishiwa.
 
Hakika nime kuelewa.
Ahsante mkuu
 
Thomas 10
Your Answer is excellent and intellectual, I award you a highly recognisable merit.
Wote, mwanzilishi wa mada, wachangiaji na wasomaji jibu sahihi na la ukweli ndilo hiloooo!
Money is the root of all pleasures in life!

But kwa wale wasio nazo nahisi hawapati kabisa
 
Back
Top Bottom