xav bero
JF-Expert Member
- Nov 24, 2016
- 5,133
- 7,352
Wanaruka ruka tu,ila kiuhalisia kabisa kimantiki ktk sekta kuu halis za mahusiano hakuna hela,
Katika sekta kuu za njaa nne za ubongo hakuna fedha,mahusiano halis yaliyobeba dhima halis ya upendo hayaangalii chochote zaid ya muhemko ulivyo kati yenu.. Na ndio maana kama ni hela inabeba mapenz mbona wenye fedha weng wamekwama ktk sekta hyo?