[emoji23][emoji23][emoji23]He he
Hujaeleweka2" "x
EnheeeUkitaka kujua pesa ina dhamani gani kwenye mapenzi lazima ujue kwanza pesa ina dhamani gani kwenye maisha
Ahsanteinategemea na victims wa mahusiano wanapatikana katika mazingira yapi ""??
kama ni vijijini sitimbi huko hapo pesa "" haina umuhimu kabisaa""" kwa sbabu pana uhaba wa vituo vya afya ..usafiri " mavazi " mapambo "" mawasiliano "" etc ...
lakini kama nimjini baba """ KAMA HUNA PESA WEW TULIA TU "" MAANA KWA MJINI HATA KAMA UMEOA THEN IKATOKEA GHAFLA KIPATO CHAKO KIKAYUMBA JIANDAE KUGONGEWA MPKA NA WAUZA NYAMA"" JIANDAE KUISHI KWA MANYANYASO PIA """
MAANA UTASHINDWA KUSIMAMIA VYEMA HUDUMA ZOTE MUHIMU AMBAZO ZINASTAHIKI NYUMBANI """
WAWEZA KUWA UNAMLAANI MUNGU KWANINI ALIWEKA USIKU ...MAAANA ITAFIKIA WAKATI HATA KURUDI NYUMBANI KWAKO MWENYEW INAKUBIDI URUDI KWA MWENDO WA KUNYATA ...HAHAAA"""
ndio maana nikakwambia kuwa inategemea na mahala ambapo victims wanaishi "" maana hata wale kina bush men nao wanawapenzi mkuu''Ahsante
But utakua unapingana na dhana ya mapenz ya dhati sio pesa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weka picha
Ahsantendio maana nikakwambia kuwa inategemea na mahala ambapo victims wanaishi "" maana hata wale kina bush men nao wanawapenzi mkuu''
Kweli... Kabisa kwa mantiki hiyo nakuelewapesa nafasi yake ipo, either siku mpenzi wako akiwa na shida utamsaidia kirahisi kuliko kuenda kuomba msaada kwa wanaume wengine...Maana hujui atatoa nini ili apewe izo pesa.....Na Mpaka kidume atoe pesa atakuwa kaahidiwa Utamu!
Mmmmmh!!Maisha sio kutesa kila siku japo pesa ndio kila kitu-mr blue
kama huna pesa uwe romantic huwezi kosa mpenzi lakini jitu hela huna halafu Nunda hujui hata kuita love, bby honey utayasikia mapenzi kwa jirani zako
Hahahahahahakama huna pesa uwe romantic huwezi kosa mpenzi lakini jitu hela huna halafu Nunda hujui hata kuita love, bby honey utayasikia mapenzi kwa jirani zako
Pesa inarahisisha tu mahitaji ya maisha yakibinadamu lakini haina uhusiano na mambo ya mahusiano, sasa kwa namna hiyo wengi wanapenda mteremko sana kuliko ku struggle wakati penzi la kweli lipo, hivyo wengi wanapenda wale wapenda mteremko wao wana struggle for love and not for money,
Fact ndo hizi sasa.
Hapo ndo mapenzi pesa ufundi peleka veta inapotimia√√√√
Wapo radhi hata kuwa na mtu asiye mpenda basi pesa iwepo, mtu wa hivi hua na mtu wake anaye mpenda pembeni