Trejo Dani
New Member
- Mar 1, 2018
- 4
- 0
Co waoga Bali tabia na matendo yenu yanatukatisha tamaawanaume wa siku hizi ni waoga!!!!!!!!1
sijui mtakuja oa awanawake wa aina gani
Co waoga Bali tabia na matendo yenu yanatukatisha tamaawanaume wa siku hizi ni waoga!!!!!!!!1
sijui mtakuja oa awanawake wa aina gani
wanaume wa siku hizi ni waoga!!!!!!!!1
sijui mtakuja oa awanawake wa aina gani
Ahaaa haaa kama mimi na isitoshe ni single mother nikaona isiwe shida nikasepa kimya kimyaAmna mnatukatisha tamaa utakuta Demu umemtongoza mchana jioni anaomba hela akasuke
ni kweli kaka trejo daniCo waoga Bali tabia na matendo yenu yanatukatisha tamaa
hicho sio kipimo nachotaka kujua jamaa kashapewa mzigo kama bado hapo mwanamke ni kama amekuona wakujaShukuru kwa kuwa hadi sasa ushajua msimamo Wa ligi ukoje.
Kazi kwako, kuendeleza au ujitoe.
Wengine ni mbwembwe za mwanzo tu, unaweza kukuta ni mitego tu ila anakupima imani ya utoaji wako.
Anaweza nunua mbuzi kwenye guniaNdoa kwanza kugegedana ukishanioa
Basi kila mmoja abaki na chake, hakuna kuombana pesa wala hakuna kuombana utamu, tujenge uhusiano kwanzaNdoa kwanza kugegedana ukishanioa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza nunua mbuzi kwenye gunia
Sawa hakuna tatizoBasi kila mmoja abaki na chake, hakuna kuombana pesa wala hakuna kuombana utamu, tujenge uhusiano kwanza
Kuna moja aliwahi kuniambia kuwa nibaki na pesa zangu, na yeye abaki na uzuri wake. Nikamwambia fair deal. Akabaki anatoa machoBasi kila mmoja abaki na chake, hakuna kuombana pesa wala hakuna kuombana utamu, tujenge uhusiano kwanza