Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

sema wewe ndio haupendwi sababu huna pesa!

na unavyosema "pesa" una maanisha kiasi gani? milioni? bilioni?
 
Tehe tehe tehe utasikia, baby w/end tutoke tukutane pale pale Kunduchi Beach ila sina hata nauli mpenzi halafu ujue nimekumiss mme wangu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si kila mwanamke anaendekeza pesa.. Kuna wanawake hawaangalii pesa, wanahitaji mtu wa kumpenda,kumjali, kumuheshimu, kumwonyesha upendo n.k!!

Nimeshawahi kuwa na wanawake zaidi ya wawili ambao hela kwao si lolote wala chochote!!
Walikuwa wanaona unajiweza kiuchumi na hivyo unajimudu. Tunapoongelea pesa si kwamba uumpe mwanamke,kuna vitu vingi mwanamke anaweza faidi hata bila kumpa cash kama vile kula vizuri,kwenda sehemu nzuri za starehe au nyumba nzuri,usafiri wa maana(gari) hivyo vyote unagharamia mwanaume. Sasa usipokuwa navyo atleast 2 .Utakimbiwa sana.
 
Si kila mwanamke anaendekeza pesa.. Kuna wanawake hawaangalii pesa, wanahitaji mtu wa kumpenda,kumjali, kumuheshimu, kumwonyesha upendo n.k!!

Nimeshawahi kuwa na wanawake zaidi ya wawili ambao hela kwao si lolote wala chochote!!

Kuna mtu anatoa kwa niaba. Wapo mpka shida fulani zinapogonga na kwa kuwa anajua we Sio Mgawa pesa ataenda kugawa
 
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambii.
Baby me like that.
penye uzia penyeza rupiaaa.
 
Back
Top Bottom