Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,039
Na mwanamke asipopenda pesa, atapenda kutumia pesa zako
wewe je ikoje?..........1 kati ya 1000sio kila mwanamke anamtegemea mwanaume,mwingine unaweza ukampenda mwanaume asiye ata na pesa
Labda una kiber100 ndo maana hupendwi. Mwanaume mashine ukigonga ngozi kiume utapendwa tu
tatizo wanaume mnafikiri kila mwanamke anataka pesa,nyie ndo chanzo cha wanawake kupenda pesa but ktk mapenz kinacho mata ni upendo wa dhati tu unaweza ukawa na pesa ukawa unahonga sana but usipendwe ata kidogo ukawa unachunwa tuuuu
sio kila demu yuko after money! msikariri!Dunia ya Leo imechange hakuna mwanamke atakayekupenda kama huna pesa. Kikubwa wengi wanapretend na unafki mwingi. Amekosa mwenye pesa ndio maana yuko na wewe.
Chukua hatua.
NB: Dunia ya leo pesa kwanza.
Kweli ila watakuchoka tu maana huna msaada kwaoSio kweli mkuu wapo wanawake wanapenda aisee utakuwa unabahati mbaya
Akikuchoka basi hakukupenda kwa dhatiKweli ila watakuchoka tu maana huna msaada kwao
ha ha haaaaa nimekua nimeyaona ndio mana nimesema c kila mwanamke anamtegemea mwanaume, mtu ukiwa na kipato chako kidogo huwez mtegemea sana mwanaume may b mwenyewe ajiongeze tuuukua uyaone.....bado dogo wewe
Wale kwa diamond ni magold digger na wanaosaka umaarufu mbali na hayo wale ni makahaba hakuna anaempenda domo pale zaidi izo cheda zakeNi haki yako kuhudumiwa na mwanaume wako, siku ukimpata atayekupa mbesa za kutosha alafu akakukaza vizuri ndo utanielewa nachosema.
We huoni diamond kwa sasa wanvojigongesha kisa mbesa.
Mumu jombi mimi au[emoji30] [emoji30] [emoji30]Jombii una damu ya kunguni,.pole saana asee.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio ww buanaaa ndio maana sijaweka 95 mwishoni[emoji13] [emoji13]Mumu jombi mimi au[emoji30] [emoji30] [emoji30]
haya banaa. .[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio ww buanaaa ndio maana sijaweka 95 mwishoni[emoji13] [emoji13]