Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Yaan mim nikiona tak.o la mwanamke nachanganyikiwa jaman dah
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji377][emoji377][emoji377]
Demiss do u smoke sigara,
Me kwako nimemisi gwara,
Be with me wala sina hawara,
Long time nimebreak up na Sara,
Mapenzi kwangu siyo hasara,
nahustle kisilent kusaka Ankara.

[emoji444] [emoji443] [emoji441]
Freestyle rap.....
[emoji23] [emoji2] [emoji3] [emoji13] [emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mkuu mmoja anajiita Alibariki kaniambukiza tabia ya kuvuta ganja kwenye comment
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mkuu mmoja anajiita Alibariki kaniambukiza tabia ya kuvuta ganja kwenye comment
[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji15] [emoji15] [emoji119]
Kuvuta ganja kwenye comment,
Alibakari zake kuchew Kali mint,
Demiss unapotea we bado binti,
Nawaza kudate na wewe but I can't.

[emoji2] [emoji23] [emoji441] [emoji443] [emoji444]
[emoji119] [emoji119] [emoji16] [emoji51]
 
Nshafukuzia dem flan white kazuriii kametulia kweli...ki mahusiano alikua dem poa sanaaa, good conversationalist, encouraging, kind hearted and kind of God fearing (i may be wrong)....sasa akawa analeta mambo ya kutaka kula good tym kwanza which i did for her for a while ila kila nikichomekea game anachomoa...ananipiga Super Sub ila akawa anapenda kweli kuwa nami na ku spend wit me ila nikiomba uroda ananipotezea malengo ananiambia mambo mazuri hayataki haraka Chill ...aaah nikamtema.

Huyo manzi yumo kwenye hii classic series moja nzuri kweli za hawa wasanii wa bongo movie kwenye Runinga ila yeye ni underground bado mgeni sana kwenye game. Kumuona huko mzuka wangu wote ukakata hata kumfukuzia tena sitaki. Ila kama ni uzuri kwa kweli she is preety. Daah nina mtu mwingine ndio ila at some point i was hurt.
 
Kama alikuwa anatafuta kitu serious na long term sio vibaya to make you wait. Hakukosea sababu ulimtema in the end, so she was right, smart girl.
 
Kuna moja aliwahi kuniambia kuwa nibaki na pesa zangu, na yeye abaki na uzuri wake. Nikamwambia fair deal. Akabaki anatoa macho
Story yako haitofauti sana na mie... Afu unakuta bidae kanarudi kakikusumbua na msg kibao
 
Kumekucha na wanaume na kulia lia mkiona mnaombwa sana hela msitoe bakini na hela zenu na wao wabaki na utamu wao
 
Ndoa kwanza kugegedana ukishanioa
siku hizi haieleweki, unaona demu kitaa anagawa sana mara huyo kaolewa. mwingine anaibana, anajifanya mstaarabu ndo umri unaenda hakuna hata wa kusogea kuuliza maana hajichanganyi na waoaji. kwahiyo unaweza kusema hadi ndoa mwingine akaonjesha kwanza kabla ya ndoa na mali ikawa safi akavutwa jumla, we ukaachwa kwenye mataa na papuchi yako.
 
Kama alikuwa anatafuta kitu serious na long term sio vibaya to make you wait. Hakukosea sababu ulimtema in the end, so she was right, smart girl.

Aaah mwanamke uki play sana “ Too Hard To Get “ unaharibu trust me. Challenge a man in his thoughts.
 
Back
Top Bottom