Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,820
Njoo tuyayajenge basiMapenzi sio pesa, hata kama huna maisha yanaendelea
Mapenzi ni kama Mboga na pesa ni kama spices
Sasa ukikosa spices unakula Mboga isiyona spices, na maisha yanaendelea, kikubwa ni amani
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua