Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Dunia ya Leo imechange hakuna mwanamke atakayekupenda kama huna pesa. Kikubwa wengi wanapretend na unafki mwingi. Amekosa mwenye pesa ndio maana yuko na wewe. Chukua hatua..

NB: Dunia ya leo pesa kwanza.
Lakin ndo majukum yako ukiwa kama Mwanaume kumhudumia
 
ukiona hivyo jua mwanamke yeye mwenyewe anajimudu. lakini kama na yeye ni "pangupakavu" hawezi mpenda "pangu pakavu" mwenzie! . Heshima ya mwanaume ni pesa tu mbele ya mwanamke , mengine ni unafiki tu .
tatizo wanaume mnafikiri kila mwanamke anataka pesa,nyie ndo chanzo cha wanawake kupenda pesa but ktk mapenz kinacho mata ni upendo wa dhati tu unaweza ukawa na pesa ukawa unahonga sana but usipendwe ata kidogo ukawa unachunwa tuuuu
 
Ndio maana nikajiita "upepo wa pesa" maana nilijua bila pesa maisha yanakua na stress sana...
 
sio kila mwanamke anamtegemea mwanaume,mwingine unaweza ukampenda mwanaume asiye ata na pesa
Ww acha kujidanganya, hata joyce kiria alikuwa na mawazo kama yako mwanzo.
Kamuulize leo atakupa jibu tofauti.

Mwanaume mbessa bana..
 
tatizo wanaume mnafikiri kila mwanamke anataka pesa,nyie ndo chanzo cha wanawake kupenda pesa but ktk mapenz kinacho mata ni upendo wa dhati tu unaweza ukawa na pesa ukawa unahonga sana but usipendwe ata kidogo ukawa unachunwa tuuuu
Ni haki yako kuhudumiwa na mwanaume wako, siku ukimpata atayekupa mbesa za kutosha alafu akakukaza vizuri ndo utanielewa nachosema.

We huoni diamond kwa sasa wanvojigongesha kisa mbesa.
 
Pesa tu ..ndio inashikilia hatamu ya utu wa mtu Siku hizi ..kwanza ukiwa huna Pesa unaanzaje kudinda..yaani mimi huwa siwezi ..nahuwa Nina system moja tu..kama sina hela namba za watoto wazuri wote napiga block..kujifnya chizi mapenzi bongo wakati huna kitu wataka kujichoresha tu...maana kila hatua utakayopiga ili kwensa kumgegeda mtu inahitaji Pesa..kulipia vyakula..usafiri ..lodge .e.t.c..
sasa wewe nenda kwamwanamke huku watilia tilia huruma uone kama next atakuwa akipokea hata cm ukiwa wampigia..

tutafute Pesa vijana..hata huyo mkeo ndni nae atahitaji matunzo ili aendelee kuwa mwenye mvuto achilia mbali huduma mbalimbali zakila siku ambazo nimuhimu..lasivyo ukiwa huna hela ..jiandae kudharaulika ...kuvuñjiwa heshima daily nakukimbiwa ..kuna watu wengi tu wameshakimbiwa na wake zao baada ya maisha kuwapiga Kofi ...
 
Si kila mwanamke anaendekeza pesa.. Kuna wanawake hawaangalii pesa, wanahitaji mtu wa kumpenda,kumjali, kumuheshimu, kumwonyesha upendo n.k!!

Nimeshawahi kuwa na wanawake zaidi ya wawili ambao hela kwao si lolote wala chochote!!
 
Kuna warembo mamende sana hata uwe na pesa vipi hakupendi tena hakuamini kabisa hata umpe nn
 
Dunia ya Leo imechange hakuna mwanamke atakayekupenda kama huna pesa. Kikubwa wengi wanapretend na unafki mwingi. Amekosa mwenye pesa ndio maana yuko na wewe. Chukua hatua..

NB: Dunia ya leo pesa kwanza.
Pesa hizo kiasi gani?
 
Back
Top Bottom