Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

LOVE IS LOVE and CASH IS CASH! Yes, many women needs cash especially those who think in their mind that "PAPUCHI" is a capital of their life....and nearly 75% of Tanzania ladies ( 18 - 45) believe on this but all these is due to poverty and globalization.

However, there are beautiful and good women - EXCEPTIONAL ONES - what they need from man is just a true love and normal care as a husband to his family....I mean what they need is a responsible man/husband.

So don't think that if you have plenty cash then you're able to drive or buy sex to every woman.....NO, NO, BIG NO!

They are few women who respect and understand themselves as WOMAN and they have their own standards although they need man, but you can't buy them by your cash.
Umenena vema
 
Pesa kitu muhimu sn nilishakosa watt wazuri enzi hizo bado mambo hayajakaa sawa
 
Huu msiba tulivyouvalia njuga utafikiri hata Ivan mwenyewe tunamfahamu zaidi ya kumuona tu kwenye social media
 
Kwenye mapenzi yoyote yale.. Pesa ina nafasi yake... Hakuna apendae kula vumbi, au kulala kwenye vumbi, au kuishi kinyonge...

Kila mtu anapenda na kutamani maisha ya status fulani...

Japo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu...


Cc: mahondaw
 
Ye Ivan Alikua Anahifadhi Pesa Ndan Tena Nyingi Kiac Hicho Huo Nao Tuite Ujanja Au Ushamba?
Wee unajua Lowasa alikuwa ameficha kiasi gani cha hela ndani hadi Magufuli akasema kuna watu wameficha hela ndani na kutaka kubadilisha hela ya tz?

Wapo wafanya biashara wengi sana wanaficha hela ndani kwaajili ya emmergence... Unaweza kuamka kesho acaunt zako zote zimepigwa pin na unataka ndani ya masaa 24 usionekane nchini wee utafanyaje?...

Kuhifadhi hela ndani bado ni ujanja
 
Back
Top Bottom