Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Asante kwa taarifa.. Maana hyo Ivan anavyokuzwa hapana.... Alikuwa na pesa kweli lakin hizo radio mbao ukizisikiza unaweza kujiuliza kuwa huenda ile orodha ya Madon wa dunia badala ya kuandika IVAN SSEMWAGA wakakosea wakaweka ALIKO DANGOTE
Kwa kweli mana hata kwenye mabilionea 1000 jina lake halipo
 
Hela kama hizo si za halali.

Kama ni za halali mwenye pesa ni mshamba hamna mfano.

Hata akiachwa na mwanamke siwezi kushangaa.

Kama habari hii ina ukweli at all.
 
Ye Ivan Alikua Anahifadhi Pesa Ndan Tena Nyingi Kiac Hicho Huo Nao Tuite Ujanja Au Ushamba?
Kuweka pesa yko benki ili iweje halafu wakati wa kwema kuichukua mizungusho kibao huo mshamba kama unajiamin unatunza mwenyewe tuu pesa yko sio lazima watu wajue unapesa benk
 
Zari is a huge fan of celebrity lifestyle. Hiyo kitu ilimfanya hadi awe mwanamuziki japo kipaji hana, bado hakuwa celebrity, akahangaika sn kuwa socialite, Ivan hakuweza kumpa celebrity lifestyle. Mwishoe ndio akaangukia kwa Chibu ambae anamtimizia hiyo lifestyle ya kuonekana kwenye kininga na kuzungumzwa kwa media houses. Nasema haya si kwa kukisia, niliwahi kukutana na kupiga story na Dafe Louis ambae alikua ni Manager wa Boss Lady.

Kumbuka Zari hn njaa kabisa kabisa. Miradi yote ya Ivan ana shares zake. Mwisho wa siku kila mtu anaishi maisha yanayompendeza. Pesa ni superglue kwa madem wenye njaa.
umemalizia vibaya hapo mwishoni khaa I hate you
 
Back
Top Bottom