Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Women wants everything.......

akipata handsome atataka mwenye dushelele kubwa
akipata tajiri atataka anaejua kusikiliza
akipata anaejua kusikiliza atataka anaejua kuhonga
hayaishi mahitaji yao.....
Interesting,.,.,.,.,.,.,.,.The Boss slogan.
 
Mkuu na inawezekana ukawa navyo vyote maana wengi wenye pesa huwa hawana muda wa kumridhisha mwanamke wanachojuwa wao kujiridhisha ww usio kuwa na kitu na utahakikisha unamridhisha maana ndo kete yako ya mwisho ukifeli hapo unaachwa[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Basi watatanga tanga sana
 
tunahangaika maana hamtupi chochote,hela mnayolalamika hamtoi,mapenzi hamna nyie wadanganyifu, sex nayo hamjiwezi nk
Usiwe na hofu mkuu kama hawakuridishi kitandani.Zipo robotic sex toys kutoka Japana zinakuja kutimiza haja zako.
 
Sio mapenzi na pesa tu....
Hata wewe ukipata mwenye chura bado utataka mwembamba ujaribu...next day utataka mfupi,next day tena utataka mwenye mwanya....

Pia leo ukiwa na pesa ndefu tu bado utataka kua kama Mo,ukiwa kama Mo bado utataka umfikie Bill gates....

Human beings never get satisfied....
And the more you satisfy your wants,the more other wants zinakuja...
 
Women wants everything.......

akipata handsome atataka mwenye dushelele kubwa
akipata tajiri atataka anaejua kusikiliza
akipata anaejua kusikiliza atataka anaejua kuhonga
hayaishi mahitaji yao.....
100%
 
Women wants everything.......

akipata handsome atataka mwenye dushelele kubwa
akipata tajiri atataka anaejua kusikiliza
akipata anaejua kusikiliza atataka anaejua kuhonga
hayaishi mahitaji yao.....
They want what you dont have!
 
Sio mapenzi na pesa tu....
Hata wewe ukipata mwenye chura bado utataka mwembamba ujaribu...next day utataka mfupi,next day tena utataka mwenye mwanya....

Pia leo ukiwa na pesa ndefu tu bado utataka kua kama Mo,ukiwa kama Mo bado utataka umfikie Bill gates....

Human beings never get satisfied....
And the more you satisfy your wants,the more other wants zinakuja...
Uko sahihi 100%
 
Hawaeleweki hao kama ilivyo papuchi yao...akiinama iko mbele,akisimama iko chini akilala iko juu,akifanya hv iko vle ili mradi tafrani tuuuuu...
Hii comment yako ina hatari sana
 
Mzee wangu pamoja na kuwa na umri Mkubwa ( 40 )
Na jinsi ulivyoomba ushauri, naomba nikupe ushauri.
Wahenga husema mapenzi hayana umri,
Kama kwa mtazamo wako unaona amekuzinikia kihisia na anahitaji mapenzi kwako sio mbaya ukawa nae kimapenzi,
Na kama unaona yupo kipesa zaidi basi mwambie ukweli wala usiogope kumvunja moyo kwa sababu wewe ndiye mwenye maamuzi kuwa umeridhika nae au hujaridhika nae,
Ujue ni ngumu sana kijana kuwa na mzee aliyemzidi umri na wakawa kwenye mahaba mazito mara zote inakuwa ngumu mno,
Kwa mtazamo wangu mie binafsi naona huyu binti anahitaji pesa kutoka kwako, kwa hiyo mwambie kuwa huna muda kuwa nae,
 
Back
Top Bottom