Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,303
Huu ushoga unaoongelewa hapa ni upi?maana neno hili limesimama kwa maana mbili tofauti!
nitumie namba yako nikurushie kwa tigo-pesaLaki 1 TU nikasuke bae wangu
kijana huwa avatar yako inanachekesha sana nakumbuk katuni ya madagaskaJapo maisha siyo kutesa kila siku, ila pesa ndiyo kila kitu
Atatulia kwa shoo za kibabe ... Ila Kwenye shoo za pesa atatulia kwa mwingine ama....unaweza ukawa na hela.alaf ukachapiwa na asiye na hela.cha msingi ukipata demu mtulize kwa shoo za kibabe.mwenyewe atatulia
kweli, jamaa afafanueHuu ushoga unaoongelewa hapa ni upi?maana neno hili limesimama kwa maana mbili tofauti!
vinategemeana.wengi wanadhan pesa peke yake ndo dawa ya mapenzi.wakat kuna matajiri wakubwa na pesa zao wanalizwa.Atatulia kwa shoo za kibabe ... Ila Kwenye shoo za pesa atatulia kwa mwingine ama....
Wenye pesa wengi wanakuaga wavivu sana Kwenye shoo wakijua pesa Ndo kila kitu itatuliza mtu ndani .... Ndo maana wanachapiwavinategemeana.wengi wanadhan pesa peke yake ndo dawa ya mapenzi.wakat kuna matajiri wakubwa na pesa zao wanalizwa.
DADA NADHANI HUJAELEWA. AMEMMANISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA(USHOGA) SIO USHOSTIHata ushoga bila pesa hakuna ni kunafikiana tuuu!!
huna pesa tutatokaje mashost kwenda kuswim?
huna pesa tutatunzana nini kwenye birthday zetu??
huna pesa umbea wa mjini tutapeanaje sasa na kutembeleana?
PESA ndo kila kitu buanaa hata kama kidogo ila lazima ziwepo!!! hivyohivyo kwenye mapenzi
nitumie namba yako nikurushie kwa tigo-pesa
DADA NADHANI HUJAELEWA. AMEMMANISHA MAPENZI YA JINSIA MOJA(USHOGA) SIO USHOSTI
Laki 1 TU nikasuke bae wangu
yeah ndio maana yake. mashoga hawana gharama m nyie! sana sana atakulipa mnaniliuuuKheeeee! kumbe!
Khahiyo kama mwanaume hana hela ni kufanya mapenzi ya jinsia moja???
Sijaelewa nifafanulie hapa
yeah ndio maana yake. mashoga hawana gharama m nyie! sana sana atakulipa mnaniliuuu
utofauti ni kuwa mwanaume rijali atatumia hela nyingi kumpata/kusex na demu but anaweza asitumie hata shilingi kulala nA SHOGA. Nadhani umenipataMmmmh! sasa kulipa sio gharama au