Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Kwenye mada za pesa from men dada-shemeji atoto hakosekani....

Hany nayeye kumpata paka umpe pesa..

Kweli hata maandiko yamesema tutakula kwa jasho...

Sijui kwann mungu alitoa adhabu hii..kwakweli

Naanzaje kukosa na ndio lugha pekee ninayoielewa?
Toeni pesa bwana shemeji maisha kusaidiana ati, pesa ya mwanaume tamu asikuambie mtu shem
 
Last edited by a moderator:
Naanzaje kukosa na ndio lugha pekee ninayoielewa?
Toeni pesa bwana shemeji maisha kusaidiana ati, pesa ya mwanaume tamu asikuambie mtu shem

Tutatoa tuuu hamna namna...kwakweli dah.
 
Aisee baada ya kusikia huu msemo kwa jamaa flani hivi nilicheeka sana lakini nikafikiria sana huu msemo maana yake sikupata jibu.....lakini maisha yanapoelekea sasa iv maskini watapata shida sana ngoja nitfute pesa nitengeneze heshima kitaa
 
Hata ushoga bila pesa hakuna ni kunafikiana tuuu!!
huna pesa tutatokaje mashost kwenda kuswim?
huna pesa tutatunzana nini kwenye birthday zetu??
huna pesa umbea wa mjini tutapeanaje sasa na kutembeleana?
PESA ndo kila kitu buanaa hata kama kidogo ila lazima ziwepo!!! hivyohivyo kwenye mapenzi
 
rubii uliniomba laki ngapi ville hebu nikumbushee
 
Back
Top Bottom