Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Mimi natumia pia na nime kupa like muda huu ume update?Lawyer hapa natumia tapatalk, but button haipo ya like imesepa pia
Mimi natumia pia na nime kupa like muda huu ume update?Lawyer hapa natumia tapatalk, but button haipo ya like imesepa pia
Aah ngoja nifanye ku-update basiMimi natumia pia na nime kupa like muda huu ume update?
Eti kweli Rich Woman?Hahahahahahahahahaha aiseee
Download Tapatalk application shida hiyo haipo.....
Teh yani kwangu kibutton kinakuja mara hichoo kimepotea eeh
Download Tapatalk application shida hiyo haipo.....
Itakuwa hivyo my kaka, vipi mzima lakini?Nahisi kuna tatizo bado hawajaliweka sana
Aah namshukuru Mungu Niko poa kabisa. Eeh nimeupdate tapatalk naona button imerudi c.c Ruttashobolwa
Aah namshukuru Mungu Niko poa kabisa. Eeh nimeupdate tapatalk naona button imerudi c.c Ruttashobolwa
Huyo dada ako atoto sijui atakuwa anampiga nani kizinga muda huu
Mfukoni mwanguWacha weeee! Baba yako yuko wapi?
Mfukoni mwangu
Hovyooo, wewe usijue alipo mumeo me ndo nijueMifukoni au .........? Haya msalimie sana.
Am gud my kaka, sijui weye.
Hovyooo, wewe usijue alipo mumeo me ndo nijue
Hao wake wenzio utawajua mwenyewe, me wananihuuu?Aaah jamani kwani ni mume wangu peke yangu?