Kwa nn unakubali kupangea? Sasa unalalamika nn si uende hapo lilipo la bure? Unalazimishwa? Uache basi mapenziWanawake sasa ni majambazi wa mapenzi kushinda hata bank robbers, unakuta dem amewapanga wanaume watatu+ na kote anachukua pesa nyingi, huku anachukua hela ya kununua sim, kule anachukua ya ada, kwingine anachukua ya pango la nyumba/hostel, kwingine anadai mama mgonjwa anaomba amtibie, yaani ni ujambazi uliokithiri na kutukuka
Na yote Haya wametusababishia wazee kuhonga watoto wa kike mapesa mengi ili wawapate, sasa madem walipozoeshwa hivyo wanapokutana na kila mwanaume wanadhan ana hela hizo
I condemn this behavior in the strongest terms possible
Nonsense
Acha waisome namba eeeeeh, yaani nina furaha we acha tu, hao wa kulia lia waendelee tu mie ni mbele kwa mbeleeeeee, msalimie sana nifah ukimuona, mwambie aje anisaidir kumshauri huyu mtoto.
Kibuton kimerudi, teh teh teh, hebu mtafute umpepee tafadhali, mwambie life has to go on, thogh walijaribu, wajipange wajaribu tena next term kwa kubaki ktk misingi wanayoisimamia.
Aisee sista atoto mi bado kitufe hakijaja bana, au mmeletewa tena nyie watumiaji wa siku tu. Nawaona cute b, Heaven Sent, Diva Beyonce na wengine wanazigonga tu sasa. Mi bado sizioni kwenye PC yangu hapa??!!
vilio vya aina hii vimezidi sasa. Mi mwanaume kama hana hela nitamkubali kwa sharti moja: asiniombe hela. maana sijatenga bajeti ya mpenzi. kila mtu ale kwa jasho lake isipokuwa wagonjwa, vikongwe, watoto na walemavu.
Aisee sista atoto mi bado kitufe hakijaja bana, au mmeletewa tena nyie watumiaji wa siku tu. Nawaona cute b, Heaven Sent, Diva Beyonce na wengine wanazigonga tu sasa. Mi bado sizioni kwenye PC yangu hapa??!!
Download Tapatalk application shida hiyo haipo.....Kibuton kimerudi, teh teh teh, hebu mtafute umpepee tafadhali, mwambie life has to go on, thogh walijaribu, wajipange wajaribu tena next term kwa kubaki ktk misingi wanayoisimamia.
Aisee sista atoto mi bado kitufe hakijaja bana, au mmeletewa tena nyie watumiaji wa siku tu. Nawaona cute b, Heaven Sent, Diva Beyonce na wengine wanazigonga tu sasa. Mi bado sizioni kwenye PC yangu hapa??!!
Teh yani kwangu kibutton kinakuja mara hichoo kimepotea eeh
Lawyer hapa natumia tapatalk, but button haipo ya like imesepa piaDownload Tapatalk application shida hiyo haipo.....