Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Did u think a woman is at your house because your handsome???
Hell Noooo...!! Its only because you know how to meet the basic needs Mzeiyaaa
 
Mimba tena?
Hehhehehehhe ile ulomwambia Kaizer kabla ya kumwambia daddy angu. Ukajifanya ulitaka ukamtreat kwanza afu ndo umsurprise. ..siku hiyo hiyo ukaanza na kutapika na kula malimao na Kujifanya mimba yako inataka laki 5 kila siku hahhahahhahaha mwanamke al-shabab wewe wa mahaba mwee
 
Na wewe huoni kitufe cha "like" kumbe? nilidhani ni peke yangu. Ukute ZEC wamekifuta, maana saivi bana si wa kuwaamini wale.
Hahaha kitufe cha like kitakuwa kimefutwa na nanhii. Nimeupdate tapatalk naona kitufe kimerudi

Afu design kama hata nikipewa "likes" sizioni vile
 
Hehhehehehhe ile ulomwambia Kaizer kabla ya kumwambia daddy angu. Ukajifanya ulitaka ukamtreat kwanza afu ndo umsurprise. ..siku hiyo hiyo ukaanza na kutapika na kula malimao na Kujifanya mimba yako inataka laki 5 kila siku hahhahahhahaha mwanamke al-shabab wewe wa mahaba mwee

What are you talking abt? Mbona hata sikuelewi!
 
Kwenye mada za pesa from men dada-shemeji atoto hakosekani....

Hany nayeye kumpata paka umpe pesa..

Kweli hata maandiko yamesema tutakula kwa jasho...

Sijui kwann mungu alitoa adhabu hii..kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Hizi ni zama za ubinafsishaji na uwekezaji, wanawake wameamua kubinafsisha na kuwekeza kwenye rasilimali wanazomiliki na kutembea nazo.

Uwekezaji unahitaji mtaji mkubwa, kama huna mtaji mkubwa kwenye uwekezaji wa rasilimali za wanawake utaishia kuwekeza kwenye juice na maji(beki tatu), gesi(wanawake wazuri) utaishia kuisikia redioni.

Kama huna hela wanawake wa maana utaishia kuwaita shemeji, usijisumbue kwa wanawake wazuri, wewe komaa na housegirls na mama ntilie, watoto wazuri tuachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom