ndalikane bigambo
Member
- Jul 11, 2015
- 94
- 21
Sio wote tunaotaka pesa mimi kama mi binafs nahitaji mapenzi ya dhat kwa vile unajua mi nahitaji kuoga na kuvaa bas lakn siwezi kukupangia
Jaman masaada wa mawazo, manzi yangu inataka kila mwisho wa mwezi nimpe pesa je kuna ulazimaa??
Mwanamke atoke kwao hajawahi kulala njaa af aje kwako alale njaa kisa Mapenzi?
Hali hii imewakumba wanaume na wanaume wengi kuishia kutapeliwa. Mapenzi ni zawadi kutoka kwa Mungu.
mapenzi hayauzwi na hayatolewi bure....
binafsi sipendi tabia za wanawake kujali pesa kuliko mapenzi,unakuta mwanamke anakubebesha shida zote utafikiri wewe ndo umemuumba,hakupi mawazo ya kutafuta bali ni kutumia tu,bora kutafuta shugar mamy tu
Inawezekana ndio..acheni kujiaminisha mambo ambayo hayapo.
Hali hii imewakumba wanaume na wanaume wengi kuishia kutapeliwa. Mapenzi ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Kiswahili kimekua sana skuizi aiseeee......
Kumbe mapenzi ni zawadi:what: