LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
:lol:Kweli kabisa, na mimi nikaamua kukupenda hivo hivo,
Sie tutaishi tu. Sa ungenidandanya unaishi MASAKI afu uje unipeleke huko kweli.........
Wa kule wengi huwa wanatoswa.
[/QUOT
Lazima watoswe ati kwani hawana ustaarabu,we siku moja simama tu pale mwenge mida ya jioni kisha utizame daladala ya Mbagala ikija ndio utawajua,maana hata kama wapo watano tu lazima waingilie madirishani badala ya mlangoni..:lol::lol::lol:
Ha ha ha, lakini wewe huwa ufanyi hivyo, si eti eeh!!!
Last edited by a moderator: