Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Halafu Uongo Ushindwe na ulegee sio.
Au udumu na uendeleeeeeeeeee!!!!
Uko wapi? Kuna foleni sana leo bwana,
Kumbe uko Kwa Fea way!!!
Nimekamatwa na trafiki ila usijali nitamalizana nae naenda kituo cha polisi mara moja i guess nitachelewa
 
Ngoja nikachume fimbo nikuletee Lizzy.
Mi nimeshamuuliza, tuanze kushukuru kwamba Mungu amejibu kwamba yeye sio naniliu mwema.
Na hiyo signature aifute haraka sana?

Amebadilika....ukirudi leo mletee juisi!!!
 
Nimekamatwa na trafiki ila usijali nitamalizana nae naenda kituo cha polisi mara moja i guess nitachelewa

Yani we fundi, mi nakwambia shauri yako.
Mmmmh, usije kuniomba ushauri!!!!
 
Si ndo nashangaa, umeacha lini kunilinda,
Hadi nikabwe lol!!!

Kuna jamaa alikuwa mtu wa miraba minne ameshiba kwelikweli basi siku akajidai kukatisha mitaa ya Unga LTD,vijana wakamtaimu na ndoo iliyotobolewa pande zote mbili kisha wakamvisha jamaa akashindwa la kijitetea na wakamsachi walivyotaka,sasa mie nitawezea wapi mama bora tuahirishe tu hiyo safari.
 
Mmmmh, nakusikiliza kwa makini aisee!!!
Tuarishe tu. Tutaenda Ukune si ndio eeh!!!
 
Hehhehe...LD nikilinda watu vibaka wananimaind kwamba nawazibia ridhiki!!!

St PM ina maana wewe huwezi kujilinda???Na ukiwa na LD je???Au yeye ndo anakulinda wewe?

Mh kwa hali ya huko bora niache tu,maana baba yangu mdogo alihamia Unga LTD,basi siku ya kwanza tu ameingia kwenye nyumba majira ya saa moja jioni akatoka kwenda toilet maana ilikuwani ya nje,kumbe jamaa wanamsubiri basi kabla hata hajafika toilet watu wameshachukua vyao zamaniii
 
Hahahahahha...UngaLTD ni noma!!!Yani hakuwezekaniki....ila kama wanakujua wala hawahangaiki na wewe..labda kama una mapozz ndo watakukomesha!
 
Naomba kuuliza wanajamvi,katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako,nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu hata siku moja.Wana JF naomba tusaidiane..

Umemaliza kula kitu sina cha kuongeza
 
Yani nakua najua kwamba umenidanganya kwamba ulinidanganya kwamba umenidanganya ulivyonidanganya!!!
Kukudanganya nimekudanganya na ukajua kuwa nimekudanganya ukafurahi nilivyokudanganya kwa kuwa ulielewa nilivyokudanganya ndio maana wote tukaishia:lol::lol::lol: tukijua ilikuwa ni ZE KOMEDI
 
Back
Top Bottom