Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Oooopsssss okay kuna option za bure
atoboe mgomba
atoboe godoro
aweke nzi kwenye kichupa


how-did-you-know.jpg
 
Mpe tu sasa tutafanyaje...kakua akiona mama yake akipewa na baba...mtaani ni hivyo hivyo...mpe tu...ila hakikisha na wewe unapewa.

Life is give n take brother...give and take!!!
 
Mpe tu hata siyo mwisho wa mwezi tu, kila anapohitaji wewe mpe, kama yeye anavyokupa kila unapohitaji.
 
Nothing goes by nothing! Kata wallet upewe mbunye. Kauli mbiyu ya karne hii: NO MONEY, NO HONEY!

Huwezi kuhudumia, basi waachie wenye 'meno' wakusaidie 'kutafuna'
 
Jaman masaada wa mawazo, manzi yangu inataka kila mwisho wa mwezi nimpe pesa je kuna ulazimaa??

hili swali ungemuuliza yeye ingekuwa vizuri sana maanake wengine tunaweza kukwambia usimpe hakuna ulazima matokeo yake ukaachwa then urudi hapa kulialia tena!!!
 
kwani mboo na k haifany kazi bila pesa...kwani care kindenss intimact conectedness flirting ni pesa.....wale walioridhika kuishi pamoja na pesakiduchu mapenzi wanayo na haoje....?
 
Back
Top Bottom