Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Hamna ulazma, atapewa na wenzio we kuwa busy na tendo tu
 
Si jambo baya kutoa pesa kumpa mpenzi wako. Ila mapenzi yenu yasi base kwenye pesa. Dunia ya sasa kila kitu kipo kwenye pesa. Huwezi kuikwepa.Pesa ni muhimu katika penzi lakin sio kila kitu. Yaan mapenzi bila pesa ni sawa na pilau bila chachandu. Utakula utashiba, lakin ladha yake itakua tofauti na aliyeweka chachandu. Halafu kingine wanawake inapaswa mjiongeze sasa. Muache ile dhana ya kumtegemea ya kumtegemea mwanaume katika kila kitu. Mnataka fifty fifty then mnashindwa kujizatiti. Maisha yanabadilika!!!
 
si bora huyo anataka umpe kila mwisho wa mwezi....wangu anataka tutoke out kila siku..bajeti ni hii:
vinywaji 30,000, chakula 20,000, kununua vitu vinavyopitishwa bar 20,000
usafiri 40,000, hela ya kumpa 50,000 na analaamika ni ndogo, kesho asubuhi tu nirushie vocha 5000 (ole wako umrushie 1000 atakuandika hadi gazetini kwa ubahiri), nina hamu ya supu nitunie 10000 (utadhani jana hukumtoa) . Jumla shilingi 175,000 kila siku, hapo bado hajaja na shoga zake, yaani kama unajenga vile.
Bora changudoa, mkishakubaliana unajipima kama unaweza unalipa biashara imeisha
 
lakini si unapata utamu ?
 
Jaman masaada wa mawazo, manzi yangu inataka kila mwisho wa mwezi nimpe pesa je kuna ulazimaa??

kwa wanawake wa kiafrika ni ndoto kuwa na mpenzi bila hela, na usitegemee kupata mapenzi
 
Jaman masaada wa mawazo, manzi yangu inataka kila mwisho wa mwezi nimpe pesa je kuna ulazimaa??
Siyo lazima. Yani sisi wadada tunatia aibu siku hizi. Yani mpaka anakupangia kuwa anataka kila mwisho wa mwezi. Hana wazazi? Kazi? Wewe ndiyo tegemeo lake tu? Wadada tuache hizi tabia sio lazima tupewe hela kaa! Kwanini wadada tunapenda mterezo tu. Tujitegemee jamani! Hebu anzeni hata kuwatoa lunch wapenzi wenu siku moja moja.
 
mwanzoni mapenzi yanakuwepo lakini mwezi hasi uishe yanakuwa yameiaha kabisaaaa, kapesa kidogo kana utamu wakw wewe mwanamke atapendezaje?
 
Back
Top Bottom