Kaboom ,inawezekana hilo ulisemalo lakini ni kwa njia ya tofauti na fikra za wengi.
Na kama ingekuwa ni njia ya moja kwa moja basi wala wafanyao biashara ya ukahaba wangekuwa ni namba moja ktk kuyafahamu mapenzi ya kweli kwa kuwa wao wanafanya "sx" kama sehemu ya kazi yao ila wanatambua fika kuwa hakuna mapenzi hapo.
SX Inaleta mapenzi ya kweli pale mnapokuwa sasa mnaupendo wa kweli na kila mmoja anaweza kumfikisha mwenzake sehemu husika.
Akili ya binadamu inapokubaliana na matendo fulani ndipo tendo lenyewe hufanyika.