Utatoka na nani wa JF?

Nampenda yeye, ye ndo yeye wala siwezi kwenda kwa mwingine, ye ndo yeye...

Anajua nipo na yeye...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ERoni ndio natamani nitokee naye ila mmh nitapigwa natafuta shidaa kabisa mwamba anataka mutu Fulani humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…