Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,702
Kati ya wanawake laki 3 waliopo JF hakuna hata mmoja anataka kutoka na Criston Cole.
Kweli uchawi upo aisee![]()


boresha CV mkuuAnza kujisifia sifia na ufungue piemu hiyo
Kati ya wanawake laki 3 waliopo JF hakuna hata mmoja anataka kutoka na Criston Cole.
Kweli uchawi upo aisee![]()


boresha CV mkuuKwani dhambi? Ikiwa mkewe hayupo?Na kwanini utoke na mme wa mtu?

Tutakunywa maji tu na kuzurula huko feri inatosha
Asante Bi dada wanguvu😂😂😂😂😂😂 uchovu wa aje bidada?
Jiandae twenzetu hata hapo Kikuletwa hot spring 💃
Chips yai na fanta baridi sitoshindwa kukununulia 💃
Wala mie sina wivu Ila sikutamani kabisaNi wivu unakusumbua![]()
Uzuri wanajua kutunzaKwani dhambi? Ikiwa mkewe hayupo?Tutakunywa maji tu na kuzurula huko feri inatosha
![]()
😂 😂 😂 😂 😂 😂Mie natoka na mademu wanne hapa JF ila hawajuani mmoja ni mke wa afande, mwingine ni mwanachuo halafu wawili ni single mothers tena mmojawapo kazaa na mzungu
NB: wote hawa niliwapata kwa kutumia ID yangu nyingine tofauti na hii maana huwa nikitumia Id hii mademu wa Jf wananitosa kisa nauzaga majeneza ila nikitumia ile Id fake ambayo napendaga kuongelea maada za magari ya bei na safari za nje ya nchi huwa warembo wa humu wanaingia mkenge maana wengi wao wana tamaa halafu hata tukionana akaniona muonekano wangu (bonge japo sio kama Peter Msechu) hawa warembo wanaamini mie ni mfanyabiashara mkubwa wa magari hawajui kama ndo yule muuza majeneza na sanda wa hapa Dodoma
Nitamani mimi basiWala mie sina wivu Ila sikutamani kabisa
Ndio hicho ninacho wapendeaUzuri wanajua kutunza

nakwambia tukifika mbinguni wao wataka VIP
Nkutamani ww Tangawizi uniwashe hapana aiseh.Nitamani mimi basi
Ushaboresha CV kwanzaMkuu hebu jaribu kunipm tuone kwani imefungwa??
Pesa muhimuSimu lazima iwe na chaja; unaishije?
This comment made my night 😆😆Nkutamani ww Tangawizi uniwashe hapana aiseh.
😂😂Me naogopa vitu miwasho🙆This comment made my night 😆😆
Wapo wanakusikilizaNdio hicho ninacho wapendeanakwambia tukifika mbinguni wao wataka VIP
![]()
Muda ukifika utafanya hivyoSijawah ata kutongoza JF
Miwasho ndio mizuri, hamu haiishi😂😂Me naogopa vitu miwasho🙆
Unfortunately Lying, lies and being fake is not my strong suit Ma'amUshaboresha CV kwanza
Tukuone kwnye majukwaa ya garage kule
Useme una nyumba Goba
Utaona tutakavyojipanga hapo piemuni