Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
🤣🤣🤣🤣Na sisi wagonga ulimbo(waganga njaa) tunaruhusiwa kuchagua wa kutoka nae?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Na sisi wagonga ulimbo(waganga njaa) tunaruhusiwa kuchagua wa kutoka nae?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hadi muda huu sijampata wa kuniambia SH nsomba kutoka na wewe. Njaa mbaya Sana.🤣🤣🤣🤣
Uzi unahusu kusema unatoka na Nani humu Dr!! Hayaa fongokaaaHadi muda huu sijampata wa kuniambia SH nsomba kutoka na wewe. Njaa mbaya Sana
Abeeeh@Shunie
Si nasikia eti wa kimya kimya ndio mnaongoza kula totoz humu!Tunaopitaga kimyakimya humu naona hatuna soko...Na uzee huu ndio kabisa...kumbukeni mababu nao ni watu wanatamani hiyo mitoko
Haha, manake mama yake kutwa kucha anabadili tu😁Ndio yeye love🤣🤣🤣
Vya kurithi vinazidigi🙈🙈🙈
May be! Japo sijui ata itakuwaje maana huku sionag picha ya mtu! Avatar za watu wengi huku sio za wamilikiMuda ukifika utafanya hivyo
Duh sio kweli si wengine wazee tunahitaji kuonewa huruma Tu...yaani msaada kwenye tutaSi nasikia eti wa kimya kimya ndio mnaongoza kula totoz humu!
Huo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.Si nasikia eti wa kimya kimya ndio mnaongoza kula totoz humu!
Mie yeyote atakaye nionea huruma Tu....mzigo wa kwenda popote upo...Ila nijue mapema ili nijue namuaga vipi Bibie hapa maskaniHuo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.
Mkuu kwani wewe unatoka na nani, najua mambo ya carbon copy yameisha ila haimaanishi kila kitu kimeisha😁
Mie ninae sasa nipo tu nimedodaa mkuu sina Aaa wala BeeHuo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.
Mkuu kwani wewe unatoka na nani, najua mambo ya carbon copy yameisha ila haimaanishi kila kitu kimeisha![]()
Hayaaa mkuu Clarity onaaa☝️ Mwenzio kakiriiiHuo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.
Mkuu kwani wewe unatoka na nani, najua mambo ya carbon copy yameisha ila haimaanishi kila kitu kimeisha😁
Saivi mambo ni underground, hutaki kelel na mtu, haya bwana!!Mie ninae sasa nipo tu nimedodaa mkuu sina Aaa wala Bee
Wapi mkuu si nilikwambia unitafutie mzee aso na mambo mengi ukapotezea jamane 😬! Nimedodaajeee WalaiSaivi mambo ni underground, hutaki kelel na mtu, haya bwana!!
Hahah, wazee wa humu utawezana nao? Sema hawana mambo mengi, ngoja hii assignment niifanyie kazi madam, lazima watu wawekane😁Wapi mkuu si nilikwambia unitafutie mzee aso na mambo mengi ukapotezea jamane 😬! Nimedodaajeee Walai
Fanya hivooo najua huwezi niangushaaa!!😁Hahah, wazee wa humu utawezana nao? Sema hawana mambo mengi, ngoja hii assignment niifanyie kazi madam, lazima watu wawekane😁
Mnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Wakati ukiwa unajishauri, pata kiburudisho:-