Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Kama kuna yupo amewahi kukutana nami humu anyooshe kidole nimeruhusu.

Mimi mdomo unaniponza.
Pili hata tukionana laivu sijui kutongoza.
Ni jasiri nyuma ya keyboard tu🤣🤣
Khaaah!! Yamekuwa hayo!!🤣🤣🤣
 
Una laana wewe🤣🤣🤣
Jf sina mtu ndio maana mabwabwaja.
Ningekua na mtu ningekua mpole sana
Unataka kumuibia mtoto wa watu eeh🤣🤣🤣🤣
Hadanganyikiiiii.
 
Back
Top Bottom