Mwamba unanitoa hunitoi @depal😍😂😂😂😂😂😂 uchovu wa aje bidada?
Jiandae twenzetu hata hapo Kikuletwa hot spring 💃
Chips yai na fanta baridi sitoshindwa kukununulia 💃
Waringishie pesa watakufuata tu😅Nimekaa pale namsubiri wa kutoka nae
kiduku mpapaso 🤣Nimekaa pale namsubiri wa kutoka nae
Mimi ni kibubu kimejaa fullWaringishie pesa watakufuata tu![]()
Nasubiri ndondokela inidondokee mkuu
Aisee, kumbe Kuna kutoka na watu humu ndani, nilikuwa sijuiMnavyojua tena mwisho wa mwaka, huwa kuna mambo mengi; ata kama ni bahili sana, itabidi kujichanga changa hata kidogo, angalau nawe uweze kusherehekea pale panapo wezekana.
Na sherehe inafana zaidi, pale unapokuwa na kampani au mwenza wako wa karibu.
Kwa upande wangu, mi nitatoka na huyu mdada mrembo matata yumo humu, mwenye sifa zifuatazo; ni mrefu wa wastani, umbo namba nane, mguu wa bia, weupe wa wastani, ana nywele ndefu, aombi sana ela, anaongea kwa staa, na anajua kushukuru hata kwa kile kidogo.
Kwa hisani ya huyo mrembo, atawapungia mkono popote pale ulipo.
Je wewe, utatoka na nani?
Wakati ukiwa unajishauri, pata kiburudisho:-
Nipo tayari kabisa mkuu, itakua lini?🤪financial services twende road trip
Nakutumia itenary cuteNipo tayari kabisa mkuu, itakua lini?🤪
Ok 👏Nakutumia itenary cute
Nipo tayari kabisa mkuu, itakua lini?![]()

Nipo Kaka si umeona financial services anataka apelekwe road trip. SASA wewe nipe pande kwingineKijana unakuww adimu sana siku hizi, hata kukupa pasi ndefu nashindwa![]()
Hapana mkuu, umepata kitu cha ukweli, usitoetoe macho tena...Nipo Kaka si umeona financial services anataka apelekwe road trip. SASA wewe nipe pande kwingine