Utatoka na nani wa JF?

Utatoka na nani wa JF?

Duh! Huwa sipendi sana kuzungumzia mapenzi kwa kuwa nina wapenzi huku siwapendi! Kuna dada namtaka sana nitoke nae Mhaya mitego yangu yote anaruka mara aniite kaka mara first born wake wakati mi nina shida na sketi yake!mwaka huu kanipiga chenga ila mwakani ghettoni atajaa tu!!

Humu JF nahitaji nitoke na mtoto shombeshombe mtoto wa kike wa kimanga juba na ninja sijui nikab kama kawa anipende mimi tu mwaka mzima 2023 na anukie manukato udi , mavumba , manemane na mafusho!

Nataka nitoke na mwanayanga au hata mwanasimba poa tu pisi kali shombeshombe mtamu kama asali😃😃

Shombeshombe anitumie picha na namba ya cm inbox nioe kabisa sitaki kumchezea pisi kali kama wengine! Napenda vinono maisha mafupi sana!
 
😂😂😂😂Kumbe watu wanaepana ubuyu na hamsemi 😂😂😂
Eh ndio maana humu hakuna Siri Jana nilikuwa Jana busy sikuwa serious nikawareport ila ikaja text inbobo huyu ndio chombo jipya Cha ERoni nikasema kaeni pembeni kazee kawatu kataua mtu nani sophy27 nikasema yule shoga angu kabisa nikaambiwa ndio siwewe umenunuliwa range mpya na kazee ketu Kwa mapenzi mazuri ya kizanzibar kama zuchuu jamani Cillah kanunuliwa Passo halafu jamani alivyomrefu ngoja kiishe hapa hapa 😃😄😄😝
 
😂😂😂😂
 
Kama kuna yupo amewahi kukutana nami humu anyooshe kidole nimeruhusu.

Mimi mdomo unaniponza.
Pili hata tukionana laivu sijui kutongoza.
Ni jasiri nyuma ya keyboard tu🤣🤣
Mimi hapa nimekuona google halafu nikakuona kule na yule nicheme au ni nyamazee namjua mtu huku akisikia ulikuwa kulee ataliaje??
 
Asee [mention]Glenn [/mention]lini utanikabidhi [mention]Demi [/mention]?
 
Back
Top Bottom