ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,563
- 119,613
Ajiandae kabisa!toka na Mzee wa kupambania au anasbo
Ajiandae kabisa!toka na Mzee wa kupambania au anasbo
CA si ni ( continuous assessment ) 😒😒😒Nataka zawadi yangu.
CA ndio nini?
😅😅😅😅 nahisi nae mwenyewe anajua na yupo tayariAjiandae kabisa!
Abebe zile zana za gambo?🤣🤣🤣Ajiandae kabisa!
Sasa ndugu yangu mie hizi CA nitajulia wapi!! Shule ilinishinda nikakimbia🤣🤣CA si ni ( continuous assessment ) 😒😒😒
kuhusu zawadi ondoa shaka imefika hiyoo
Satoh HiroshWenye hatuna wenzetu tunatokaje jamani
na mie napenda sana kudaiwa, ule usumbufu usumbufu basi kwangu rahaaaaa kama peponi vile 😊😊Sasa ndugu yangu mie hizi CA nitajulia wapi!! Shule ilinishinda nikakimbia🤣🤣
Nasubiri zawadi yangu. Nitakudai hadi ujute🤣
Nisameheni nimekosa mimi, nimekosa sanaIla wewe kakorofiiii!!🤣🤣🤣🤣
mmbebe hata GENTAMYCIME au mpwayungu villageHumu ndani nimeshindwa kuchagua maana Kila ninapoangalia hagusiki ngoja nipite
Haki umeshindikana🤣🤣🤣🤣na mie napenda sana kudaiwa, ule usumbufu usumbufu basi kwangu rahaaaaa kama peponi vile 😊😊
Vitu unavuta hata shetani anashangaa🤣🤣🤣mmbebe hata GENTAMYCIME au mpwayungu village
Criston Cole mbona yupo lakini na anagusika tu🙄Humu ndani nimeshindwa kuchagua maana Kila ninapoangalia hagusiki ngoja nipite
Jamani hujaniona hata?Humu ndani nimeshindwa kuchagua maana Kila ninapoangalia hagusiki ngoja nipite