Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,498
Wew tena umesema mm naanzaje kupinga ngoja nipumzike mieSophy acgana na huyu Anthem, anakuhangaisha tu hapa mtoto wa watu badala ya kulala anakuletea vitu havieleweki
Wew tena umesema mm naanzaje kupinga ngoja nipumzike mieSophy acgana na huyu Anthem, anakuhangaisha tu hapa mtoto wa watu badala ya kulala anakuletea vitu havieleweki
😅😅😅😅 upo mwisho mwisho ila umeng'ang'ana hatari 😁😁😁🤣🤣🤣🤣
Kuumbafu!
😅😅😅 twende chobingo tusinufaishe wapambe, mie na wewe tena kama kiu na maji .. hakuna gumu kabisaAlooooh!! Kumbe ndio ilikuwa nia yako.
Bichwa lako.
Nitakuja na Leso ya kufuta makamasi ukiangukiwa na kitu kizito , sina hiana mie 😅😅😅Umewahi kupenda wewe? ERoni ndio mmiliki wa moyo wangu.
Kichwa lama peremende. Ushindwe!!😅😅😅 twende chobingo tusinufaishe wapambe, mie na wewe tena kama kiu na maji .. hakuna gumu kabisa
Nawe utulie sasa khaah!!Umenirushia ndege wangu hongera@amadala
Nitajie mmoja🤣Nawe utulie sasa khaah!!
😄😄😄😄 uzuri nakupendea hapo badae ooh ! sweetie usijali pale nilikuwa nampanga tu ERoni .. nimekuleta zawadi yako ile perfume uliniagiza 🤣🤣Konyo wewe🤣🤣🤣🤣🤣
Mie nikutake wewe nitakuwa nimemkosea nini kikubwa hivyo Mungu hadi aniadhibu kiasi hicho!!!
Tulipofikia hakuna kitu chochote kinaweza tuangukia🤣🤣🤣🤣Nitakuja na Leso ya kufuta makamasi ukiangukiwa na kitu kizito , sina hiana mie 😅😅😅
Ili nikuvurugie?Nitajie mmoja🤣
Sawa.