Bodi ya mikopo elimu ya juu ijitafakari

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
996
1,508
Mpaka sasa idadi kubwa ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuo vingi hawajapewa pesa licha ya kwamba taratibu zote zilishatimizwa na vyuo, kuna wanafunzi mpaka dakika hii hawajakamilisha usajili kisapesa hawana na hakuna taarifa yoyote natolea mfano DIT,madogo wanaishi kiMunguMungu tu.

Mbali na hapo bodi imeshindwa kusimamia vizuri ugawaji wa mikopo na hii ni kutokana na ukweli kwamba hawana pesa za kutosha lakini bado wanaingiza faida nyepesa kuwapa na wanafunzi wa diploma mikopo, hivi mwanafunzi wa Engineering anapewa tuition fee 250k kwa mwaka na ada ni 1.5M, yaani yeye alipe 1.25M, anapewa meals and accodation 2M kwa mwaka, no research, no stationaries no special faculty hapa wanasema wamemuwezesha huyu kweli ama ni ulaghai na ugaigai tu.

Serikali ijitafakari.
 
_20231205_104702.JPG
 
We acha tuu Bora ifutwe maana inatuongezea stress,Elfu sabini ya mwanangu umeenda na mkopo hajapata!Huku serikali ikihimiza tuwasomeshe watoto wa like.Kweli bodi ya mikopo wanalijua Hilo au ndo bichwa komwe?!!!!
 
Yaani ni Kama Wanatoa wanategemea pesa Za registration ndio watoe mikopo
 
Back
Top Bottom