Utapeli wa wanawake..

Utapeli wa wanawake..

Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.

Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.

Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..

Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.

Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?

Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k

Cc Zero IQ
Kila mwanamnke na level yake. Amezoea kutumiwa buku tano ya kula. Wewe umetuma buku 20 ni nyingi sana kwake. Sasa hivi atakuwa busy kumtapeli mwingine akitumia line nyingine ya simu. Hesabu umetoa sadaka.
 
Ewaaa hapo umenena vyema.
 
ILA UNA ROHO LAINI SANA......20 fasta.....anyway tuko tofauti sana....na malengo tofauti pia....pole mzee baba
 
Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.

Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.

Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..

Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.

Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?

Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k

Cc Zero IQ
Aiseeee pole sana mkuu tumia namba ngeni mtegee kamtego ule chako 20K parefu usawa huu kuna Papuchi nne ukienda pale kimboka au kama dom pale uhindini za 5K 5K mkuu

CC Zero IQ
 
Nmekusoma mkuu..naufanyia kazi ushauri wako
 
Hao ndo watoto wa uswahilini,ila nawe mjomba umejitakia mwenyewe hela yote kweli kwa mwajuma nchokonoe mbona kwake kama milioni vile,Usilie ndio ukubwa huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom