Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Next time akikuambia hajala mwambie njoo hapa bar kuna kila kitu mchemsho, nyama choma mpaka kiti moto.... Akija unamnunulia nusu kuku na ndizi then mguu kwa mguu nyumba ya machinjio....Imenishangaza sana mkuu.. Yaan kajiona kawin kwa amount hyo.
oh..boss hiyo ndo pic yangu,,hapo nipo Coco beach nimevaa viatu vyangu vya samaki..huyo ni mimi kbs yani
Kwa nini unamkatia simu?
Hee lakini demu kapata alichokuwa anakihitaji maana shida yake ilikua hiyo 20k tuAmani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ

bulaza ukute hata sio demu mjini hapa...kuna vijana ni SCAMERS kazi yao ni kutafuta watu kama nyinyi huwa hawakosi mpaka laki2 kwa sikuAmani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ
Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ
Alafu huwa wanadanganya na kusahau walichoongea,mie kuna 1 baada ya kunikubalia asubuhi ananambia gesi imeisha akala 25, kesho akaleta maneno ya njaa inauma akala 15
kilicho fanya nitoke mbio, ni pale alipo nambia " anaweza hairisha masomo kwa kukosa ada ya muhura ujao" nkaona nsha kua babake wakati hata rangi ya pichu sijaiona
kabaki kupata hela ya vifurushi tu
Hawa ndio wanasababisha wengine wakose kupewa hela hata wakiwa na njaa kweli...ila daah twentyunamblock person?!chaaah!!!

Hahahaa pole mwaya labda zipo sababu zayeye kushindwa kupokea simu,usitoe hukumu mapema hivyo pengine anaweza kukutafuta tenaAmani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.
Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.
Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..
Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.
Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?
Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k
Cc Zero IQ
Atakuwa ameshiba hadi kasinzia. Shibe hulevya. Msikilizie tu ataamka.