Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

Wanawake wa Mbeya msimsogelee wala kumpigia kura Sugu

Status
Not open for further replies.

Ally Kanah

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2011
Posts
1,479
Reaction score
388
ImageUploadedByJamiiForums1435223898.032006.jpg

nimejitolea kumtafutia mama mzazi wa Sasha information zenye uhakika ambazo nae ataweza kutumia mahakamani na sio mahakamani tu hata mgombea wa CCM huko MBeya ataweza kuzitumia kwenye uchaguzi……Na hajaniomba wala nimejitolea tu.lol
Tuanze na swala na Mh. Sugu kutokuweza kutia mguu Uingereza.Eti alifanyaga nini jamani? mie naomba tuanzie hapo? hahahahahhaha…Siku Sugu akinishika mitama double double inanihusu…hahahahhahahahha

Hivi kweli umpachike mwanamke mimba, umwache kama mbwa although Faiza aliondoka mwenyewe ila aliondoka kwa treatment mbaya si mnajua zile unaishi na mwanaume hakutaki anakutesa mpaka unasepa mwenyewe ndo zile…Mwanamke wa watu alee kitoto kichanga bila mwanaume,then out of nowhere mwanaume eti anaanza kukujudge wewe hufai kuwa mama sababu una vaa nguo za ajabu. Yeye ana mangapi mabaya zaidi ya mavazi ya mama mtu?

Kuna mkosa maadili au mwenye roho mbaya kama mtu alietupa mtoto wake mwenyewe au kumkataa mtoto wake wa damu?
Huyu Sugu ana mtoto mkubwa wa kiume, naskia alimtupa hamtaki,akamkataa kata kata .Huyo mtoto ni fundi garage maskini nilivyoambiwa watu wanaenda kumpiga picha leo. Turushe humu .Mumuone mtoto wa mbunge alivyochoka na magrisi hutoamini baba yake ni mbunge maskini…

Sasa Sugu kwa huyo wa Faiza ndo anajiona baba mbona alitupa mtoto? Wananchi tunasema akamchukue yule kwanza ampeleke shule ndo aje kumfata wa Faiza…Alisilete mchezo…..

Kuna watu eti wanamtetea Sugu eti kuna wababa wengine hawataki watoto bora Sugu anataka mtoto wake. Hivi nyie mbona mnakuwa wagumu kuelewa?tena kwa lugha ya kiswahili jamani? Sugu kilichomfanya kwenda kudai mtoto wala sio mavazi ya mama yake au mapenzi kwa mwanae, sababu ni Faiza alianza kumdai pesa za kodi, na message anazo alikuwa anadai kodi,.Sugu kwa vile hakutaka kumpa pesa ndo akaona amchukue mtoto. Angekuwa ni baba kweli anaependa watoto kama wachache wanavyodhani mbona alikataa mtoto wake wa kwanza tena wakiume ?na Mungu alivyo na makusudi mtoto unaambiwa katoka Sugu mtupu huitaji hata DNA testing……

Jamani wanawake tuungane,wanawake wa MBEYA huyu baba msimpigie kura na siku ya kupiga kura waume zenu wapeni hata dawa za usingizi wasiende kupiga kura.Huyu lazma akose ubunge arudi kuimba bongo flava akakumbane na kina Ruge na Clouds yao wale ndo kiboko yake…..

Kiongozi gani anatupa watoto? Kingozi gani anakataa watoto? So anachagua mtoto yupi anamtaka na yupi hamtaki? ndo kiongozi huyo?

Hivi huyu Sugu atawafanyia nini watu wa Mbeya wakati mtoto wake wa damu kamkataaa nyie watu wa Mbeya ndo atawapenda???
Huyu baba ni mnyanyasaji wa kijinsia, kanyanyasa wanawake kibao wakiongozwa na SHYROSE BANJI. Tena unaambiwa Huyu baba yeye hajui hata kumwambia mwanamke its over. Kama ni nchi anahama zake utamtafuta mpaka ushae ,hapokei simu hajibu message, utaona tu yuko na mwenzio ndo ujue its over. In short Sugu ni mnyama.

Hivi wanaume wana roho mbaya hivi utadhani hatujawazaa sisi jamani? Hivi mtu jamani umkatae mwanamke ambae anakupenda, mwanamke anakuomba muwe pamoja bado humtaki.Dada wa watu anaishi maisha ya kuumia roho basi angalau mtoto anamliza mama yake ila mwanaume anaona bado hajakuumiza vizuri anataka na hiko hiko kimoja ulichobaki nacho.Na mtoto anamtaka.Hivi mnataka mwanamke anywe sumu ajiue ndo mfurahi…

Jamani wanawake tumsaidie Faiza kwa hali na mali na kesi yake ikianza muwe mnanenda mahakama kushow love..
Mgombea wa CCM huko Mbeya awaeleweshe wananchi jinsi Sugu alivyotupa mtoto wake wa damu na unyanyasaji anaomfanyia FAIZA…. eeeh ndo akapumzikeeeee……

Faiza keshapata wakili mzuri yeye mwenyewe ana imani nae na keshamlipa ndo wana file appeal. Kasema kifedha sasa hivi yuko poa. Akifika sehemu akakwama na kuhitaji msaada wetu basi atatuambia na atatoa number yake ya mpesa ntaweka humu tumchangie pesa ili aweze kuwa na uwezo wa kujiwakilisha kama Sugu…Yani awe na lawyer wa maana kama wa Sugu ndo kitaeleweka mahakamani…..
Ila kwa sasa ana Lawyer mzuri tu….Jamani yoyote mwenye information kuhusu Sugu ambayo anaona itamsaidia Faiza mahakamani kushinda tafadhali naomba unitumie kwa email: mangekimambi@hotmail.com .tunaomba information zenye ushahidi kama vile wa picha au mtu ambae atakubali kuongea mahakamani.Again email ni mangekimambi@hotmail.com…

Na kuhusu kwanini huyu kiongozi wenu haruhusiwi kuingia kwa malkia ntawaletea siku nyingine….hahahahahha…Sasa sijui hakimu akipewa hii info bado atasema Faiza hafai…lol..

JAMANI TUELEWANE KUWA RESULT TUNAYOITAKA MAHAKAMANI NI KWAMBA SUGU AANZE KUTOA MONTHLY CHILD SUPPORT NA MTOTO ABAKI NA MAMA YAKE. YES ATOE CHILD SUPPORT KILA MWEZI APANGIWE MAHAKAMANI PESA YA KUTOA KILA MWEZI KUTOKA NA MSHAHARA WAKE WA BUNGENI. NA MISHAHARA YA BUNGENI INAJULIKANA…YANI SUGU INABIDI AFANYWE MFANO KWA WANAUME WOTE WANAOJIFANYA WAKIDAIWA CHLID SUPPORT ETI NDO WANATAKA WATOTO.YANI WANAONA KUTOA CHILD SUPPORT KAMA KUMPA EX WAKE PESA. INABIDI TUWAFUNZE NOW KUWA CHILD SUPPORT WANATAKIWA KUTOA NA MTOTO ATAKAA NA MAMAKE TU…

SUGU'S CV – HAHAHAHAHAHAHAAHHAHA-KWI KWI KWI KWI KWI

Source Mange Kimambi
 
Akiri zaki Ccm bhana sijui zina mix wa nanini.Sasa mbona unajichelesha tu huku?
 
mi sijasoma hata kilichoandikwa cause am sure it lacks substance...kesi za ndoa tena na custody issues zikiingia sio mchezo...she can appeal, let her do so..shida ye kila kitu anapeleka instagram, anatafuta sympathy au?!...the court will decide for them cause they cannot sit and talk as adults for the sake of that child..let it begin!
 
IMG-20150614-WA0003-1.jpg

941770_484822918258106_1838535464_n.jpg
HIZO PICHA WEWE UNAONA ANAFAA HUYO KUWA MKE WA KIONGOZI WA NCHI HII. KWELI CCM MMEISHIWA SERA NA BADO ZAMBI YA UBAGUZI INAWAANDAMA MMETANGAZA UDINI, UKANDA, KUKABILA SASA MMEHAMIA UJINSIA KWELI MMEVURUGWA VIBAYA
 
Sorry, sijasoma hadi mwisho huu upumbavu uliouandika. Anyway, umetumwa?
 
Ally Kanah

Badiliken....acheni kutuletea wendawazimu we nu...
Mama unavaa uchi?
Utaleage mtoto?

Juzi walikuwa wanasema amewazalilisha wanawake Leo sugu ivi....
Kitendo alichokifanya faiza kinatakiwa kulaniwa vikali ktk nchi yetu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu atakuwa msukule hana tofauti na mama wa yule mtoto akili zao zipo sawa, kusapoti ujinga kama huo ni upumbavu uliopitiliza kutopewa kodi ndio aende kukaa uchi hapo anatofauti gani na wale wa pale shiverz

Mkuu kama SUGU anauchungu sana na mwanae kwanini wengine kawatelekeza... Halafu kukaa uchi kwa mama yake kuna-muathiri vipi mtoto?? Labda unifafanulie kati ya mama kukaa uchi na Baba kula kitu cha Olkokola kipi kinaathari zaidi kwa mtoto??
 
Hahahahahahahaha!!! Yaani mgombea badala ya kwenda kutangaza Sera na atawafanyia nini wananchi atakalia kwenda kutangaza ubaya wa Sugu kwa mama wa mtoto wake?? Hivi CCM haioni aibu kuwa na wanachama malaya na vilaza kama hawa wakinaMange??

Faiza angekuwa mama mzuri angemtakia baba wa mtoto wake mambo mazur Nan asiyejua kama huyu mwanamke alitumika kumchafua Sugu kwenye vipindi vya TV?? Humu Jamii Forum kuna mtu alikuwa anatuletea stori ya Huyu mwanamama Jinsi anavyosimulia huko FB mabaya ya Sugu.. Then unakuja kusema jamaa mnyama?? Hata mimi ningekuwa Sugu nungekuwa mnyama.

Haiwezekani mwanamke anayeitwa mama nyumbani atembee na shati na chupi tu mbele za watu hii ilikuwa Zari all white Party bado ya KTMA bado unamwona huyu mwanamke anafaa kulea mtoto kweli!!
 
Badiliken....acheni kutuletea wendawazimu we nu...
Mama unavaa uchi?
Utaleage mtoto?

Juzi walikuwa wanasema amewazalilisha wanawake Leo sugu ivi....
Kitendo alichokifanya faiza kinatakiwa kulaniwa vikali ktk nchi yetu.

Kuliko Dingi kula mjani mbele ya mtoto??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom