Utapeli wa wanawake..

Hizo ni dalili kua demu hakutaki mkuu wala usingaike naye chief. Hizo silaha unazotuma ili umuone hifadhi ufanyie mambo yako yamsingi
 
Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.

Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.

Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..

Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.

Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?

Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k

Cc Zero IQ
20k ndio shilingi ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe kwenu wakuu, imenishangaza kidogo na kunifikirisha mnoo.

Nmefahamiana na bi Dada mmoja yapata wiki sasa. Leo nimemuomba nimuone mida ya sa 12 jioni . Akaniambia hajala,hivo nimfanyie mchakato wa kula.

Nikaona sio shida, nkamtumia 20k Ili apate kula kama alivyo dai..

Cha kushangaza ghafla hapokei tena simu, hajibu SMS na ananikatia simu.

Imenishangaza na kunichekesha mno,, yaan pesa ndogo kiasi hicho ndo imemfanya anifanyie hayo?

Maana angalau ingekuwa ni pesa inayo range kuanzia 200k..ningemuona kafanikiwa angalau.. Lakini sio 20k

Cc Zero IQ
Wengi hawaoni mbali wanaona kama wanatukomoa
 
Sio huyo wako tu saiv mademu naona wamepatana iwe hivyo maana hata mimi kuna mtu kasema nimtumie nauli aje afu kapita kushoto na 3500😂😂😂😂😂😂ila kwangu atalipa yan🤔🤔🤔😕😕😕
 
sijalia Ila nmemsikitikia, na imenishangaza.. Yaan pesa ndogo hivo mtu anakosa uaminifu.. Nimemuhurumia mno

Mkuu hiyo 20 ni kubwa mno kwani asubuhi anapata makande na chai Tsh 700, mchana mihogo na Pepsi moja Tsh 1000 hivyo jioni ana nauli ya kuendea kijiweni na kianzio tosha kabisa cha Heinken moja Bariiiidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom