Idimulwa
Platinum Member
- May 27, 2011
- 6,348
- 5,554
Juzi wife kapigiwa simu na watu wa shabiby line kwamba mzigo wake umefika wakamtumia na sms kuwa mzogo umefika bahati nzuri hiyo simu aliipokea akiwa bize ko akahisi ni matapeli akaja kuniuliza mimi jioni nikamwambia hao ni matapeli akasema soma hii sms
Kuangalia sms imeandikwa shabiby line ni kama zile sms za vodacom ambazo huja na majina na ujumbe unasema parcel imefika na namba za mzigo zipo, nikasema labda wahuni wamesevu namba zao kwenye simu yake nikaangalia sikuona kitu
Nikamwambia achana nao, maana mimi na yeye hatuishi dodoma ila nilishangaa sana sms ina kuja kwajina la shabiby line
HIi imekaaje?
Ki CCM hao ndiyo ma ko nki master.. Pesa Ya Elnino wameipiga pia