Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,407
- 27,079
- Thread starter
- #21
Oh my goodness!Siku hizi wanaweza clone (kukopi) sauti yako, ukipiga huwezi kujua tofauti
Sasa nani atusaidie hili?
Oh my goodness!Siku hizi wanaweza clone (kukopi) sauti yako, ukipiga huwezi kujua tofauti
Ukikaribia kutapeliwa haya huwezi kukumbuka.Aisee hii hatari sasa
Itabidi ukiombwa hela lazima uhakikishe kwa kupiga simu kwanza
Inabidi muweke mfumo wa kuongea kwenye simu kabla ya kutoa hela, halafu kwenye maongezi mnaweka password fulani.Yaya wangu alitumiwa sms ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani akasema baba nimekutumia laki 2 tu , moja mpaka nichukue dukani, nikamuuliza kwamba nani kakuomba akasema wewe ulituma sms, nikkataa, sasa ndio nikagundua hay :
Hiyo ni ‘message spoofing’ ambapo hackers wameweka trojan so attacker anauwezo wa kuongoza device yako akiwa mbaaaali bila kuishika hio simu and si lazima uwe na mtu bro as long you have internet
Noma noma jamaa wametumia social engineering na RAT ku-attack,Mimi nimejiuliza watu wa mtandao wao hawana cyber Team ambao ni Blue team ama ethical hackers?,
MTANDAO WA SIMU haiwezekani waseme ni tukio la kwanza kureportiwa na Nilichogundua mifumo ya pesa ina weakness(vulnerability) wanatakiwa waboreshe idetect fraudrent kwa Ai,na pia Ai ya kuangalia hii namba unayotuma ni ya mtu huyu ilete kapicha kabla ya kutuma ko wanatakiwa watengeneze app ambayo unakuwa unaitumia wakala na watu wengine kutuma pesa kamanzilivyo Nala app,wallet za PayPal,n.k ili ujue kabisa unatumia nani.
hap kama Kuna developer wa app wazo ilo nakwachia ila ukifanikiwa nikumbuke mchango wangu wa wazo.
NB: Nisameheni nimeshindwa kuandika hii habari vizuri, watu wa cyber security mtasaidia zaidi.
AI Ndio inaharibu sana sana mambo sijuhi itakuwaje huko mbeleni!Inaweza saidia lakini ai inaanza kutuzidi akili
Lakini upande mwingine ina mambo mengi mazuri sanaAI Ndio inaharibu sana sana mambo sijuhi itakuwaje huko mbeleni!
Umewapa Tu ulaji hao police, watagawa hizo hela halafu huyo jamaa anakuwa ATM Yao, kila akipiga tukio anapeleka mgao! So sad.SAwa, MIMI SIYO IT EXPART, natamani kurekodi video nielezee, nimeshindwa kupangilia tukio, mwishowe nimeripoti polisi, the rest is story,
Wamesema AI Una uwezo wa kujiboresha yenyewe, sasa ikijiboresha ikapata uwezo wa kubaka sijui itakuwaje.AI Ndio inaharibu sana sana mambo sijuhi itakuwaje huko mbeleni!
Kwa sasa hata ukipost video au picha ni ngumu sana kujua ipi ni og au fake mpaka huwe expert sana kuizidi AIWamesema AI Una uwezo wa kujiboresha yenyewe, sasa ikijiboresha ikapata uwezo wa kubaka sijui itakuwaje.
Sasa mkuu inajiongeza akili inajifunza mengi na tumeachia ifikiri badala yetu unategemea nini?Lakini upande mwingine ina mambo mengi mazuri sana
Ndio tulipofikia sasa na inaendelea kutuacha,inafanya mambo makubwa ambayo binadamu tumeshindwa , within a month time solve mathematics ambazo binadamu zilizomshinda binadamu kwa miaka zaidi ya 200,inafanya drug discovery, new physics etc fuatilia news kuhusu ai utaelewaSasa mkuu inajiongeza akili inajifunza mengi na tumeachia ifikiri badala yetu unategemea nini?
ikitkuana na muhuni mmoja wakawa masela na AI
Tumekwisha!
Ai imekuja na madhara mengi sana.Inaweza saidia lakini ai inaanza kutuzidi akili
Suala la muda tu, pale unapofikiri wew eni mjanja zaidi ndipo unaponasa.Duh! Kumbe kila mtu anaweza kufikiwa
Faida ni kubwa sana mara milioni, ila save hiyo debate for next timeAi imekuja na madhara mengi sana.
Mengi sana huwa nahakiki kwanzaUkikaribia kutapeliwa haya huwezi kukumbuka.
Kubaka tena mkuu dah umeenda mbali ingawa yapo yenye feelings ila ni za uongo!Wamesema AI Una uwezo wa kujiboresha yenyewe, sasa ikijiboresha ikapata uwezo wa kubaka sijui itakuwaje.
hata mimi nimeshangaa, yaani sms ya maelekezo imetumwa remotely kutokea kwenye simu yake hapa hili tatizo haliwahusu watu wa mtandao hapa ni yeye tu simu yake imedukuliwa.Bila shaka wewe sio cyber professional, umeweka terms nyingi sana hazieleweki, hiyo Trojan imewekwa simu ya nani ? Imewekwa kwenye simu yako ? Kama ni yako na ndio imetuma text maana yake vulnerability iko kwenye sms app sio watu wa mtandao wa simu.
Hiyo social engineering ulifanyiwa uka install malicious app? Story yako ina walakini mwingi na mtu ambao hana Abc za cyber security hawez hata kujua namna huo utapeli unafanywa.
Hii ni chai