Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,632
Huu uzi unawahusu mafundi aina zote haswa mafundi ujenzi.
Usione watu wana miliki nyumba zaidi ya 10 ukadhani zote wamejenga kihalali kumbe nyuma ya pazia kuna uchafu umefanyika kukamilisha ujenzi huo.
Mchezo upo hivi, tajiri atakuita vizuri atakupa kazi na mtaanza vizuri tu mwanzoni , ila sasa kazi ukishakamilisha ataanza kukutafutia kesi yoyote ili kusudi pesa yako asikulipe , fidia utamlipa na jera usioangalia utaenda.
Utapewa kesi ya upotevu wa mali /wizi. Unaweza ukapewa kesi hata ya ubakaji au kesi aina yoyote ile ili mtokomee na pesa juu mlipe.
Unaweza kukuta kazi ambayo wewe ungeenda kulipwa hata milioni 5 ,ubao unageuzwa unalipishwa mara mbili yake ,ukijifanya mjuaji zaidi unaenda kuozea jela.