utapigwa za uso mkuuKuna utapeli mpya umeingia mjini ndugu zangu
Mtu anakuja inbox anakuambia kwamba anaunga kifurushi eti 5000 unapata gb 25 miezi 3!!
Huu utapeli unasambaa kwa kasi sana huko watssap
Inatubidi tuwe makini sana na hawa watu
View attachment 1599065 View attachment 1599070
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us