ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,654
- 14,324
Mafundi kwenda jera ni kugusa tu km hauko makini..Au watu kukutengenezea mazingira wachukue hela kwako ni fasta tu.
Wanapitia magumu sana.Mafundi kwenda jera ni kugusa tu km hauko makini..Au watu kukutengenezea mazingira wachukue hela kwako ni fasta tu.
Tupe ubuyu ilivyokuwa.Kuna uhalisia kwenye hili, kuna scenario km 2 nazifahamu zinahusu hii kitu.
Pole ya nini?