Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
ngoja mi nijinyamazie maanake ingekuwa mimi hata sijui ningefanyaje kiunoni an you say its just normal i guess jamaa ni mpole sana na ana kifua cha kiume haswa,lucky him.
Jamaa anamuamini sana mke wake na wameanza toka secondary so aliamini ni utani ila ndio aliniambia hiyo rule ya kutoenda ofisini kwa wife bila sababu maalum kwa sababu kuna wengine hawakufahamu wanaweza leta utani mbele yako