Utani wa mchumbaangu/mumewangu/ mumewangu maofisini...mmmmh!

haiko poa wala nini we kama ni Juma utaseviwa Juma tu

sa nikusave "baby" hata mpenzi wako akiona unamwambiaje mbambiaje
mazoea yasivuke mipaka.....we SHOULD HAVE LIMITS

Hao wanaofanya hivyo ni nyege tu zinawasumbua hawana lolote la kujifanya modernized. Huwe kunimbia kuwa umuite mtu baki tu Mme/Mke, Asali sijui Sukari guru bila ya kumuwazia au kuwashwa washwa nae.
 
And whata are those limits? Nikishazoea kukuita wife hapa JF halafu siku tukaja kukutana laivu nikataka kuku-hug utakataa?

ya u wife hum yanaishia hum hum...... usitarajie vinginevyo

eti kisa unanita wife na kwenye sim yangu nibadilishe na jina!!!!!!!!!!!!!!
 
Wanabodi Ijumaa Kareem

Natumaini sote tuko poa.

Kuna jambo nimekuwa nikiliona kwenye maofisi mengi ambamo nimepitia na nilipojaribu kuwauliza baadhi ya marafiki zangu wafanyao kwenye ofisi zingine nao kwa bahati mbaya wamekiri kuliona. Jambo lenyewe ni lile la baadhi ya staff wafanyao sehemu moja kuwa na mazoea ya kuitana 'mchumba', 'husband', 'wife'.n.k.

Inawezekana ni jambo la heri tu ..lakini kuna wakati inaletaga utata hasa mahusiano yanapoanza kuwa kama routine. Kiasi cha wengine hadi kuandamana sehemu za lunch pamoja na kuseviana kwenye simu kwa identities kama hizo hapo juu. Sababu za wengi wao kuitana hivi utasikia..'kafanana na mume wangu,'ana jina kama la mke wangu' au utasikia 'yupo kama boyfriend wangu' n.k . Hapa najiuliza tu kuwa ni sahihi kuendekeza hizi identities maofisini??..Make kama sikosei kuna kimsemo cha wahenga kwamba 'Maneno huumba'..Au iko poa tu wakubwa???

Jiulize kwanini hawawahiti walinzi au wasafishaji hapo maofisini hayo majina? Wizi Mtupu...Ptuuu
 
Back
Top Bottom