Utani wa mchumbaangu/mumewangu/ mumewangu maofisini...mmmmh!

Sio sahihi hata kidogo,mi ilishantokeaga hiyo rafik yangu na mpenz wngu walikua na mazoea yakuitana hivo ila mwisho wake ni mambo ya ajabu yalitokea. Hivo ni vema heshima ikawepo katika hili,japo laweza kuonekana la kawaida tu ila inaeza ikaleta madhara.
 
Naona taabu kutaniwa kwa kutumia cheo cha mtu mwingine..
Just psychologically

utani upo tu katika jamii but ikiwa unahisi hauhuitaji kwa wakati flani au katika mazingira flani,unamwambia muhusika anastop.kwangu mimi kama ni utani wa bila kuvunjiana heshima sijaona shida.

relax,am not online
 
FYI watu wengi maofisini wenye icho kimchezo huwa wanafanya kweli! Nimeshashuhudia zaidi ya watu 5 wanajifanya kutaniana kwa staili hiyo huku wakifanya kweli! To be honest, maofisini ngono inafanyika vibaya mno!
 
Huko maofisini huko....!
Yanayofanyika huko maofisini....!
... lunch hour inatumiwa ipasavyo... lol..
 
ni kweli hayana justification kwani sioni jinsi unavyoweza kupata nerves za kumwelezea mke/mume mantiki ya huo utani wenu.
Nimependa hapo nilipobold...ila hayo mazoea yapo sana.
Saa zingine tunafanya tusivyoweza kujustify kwa wenzetu..
 
FYI watu wengi maofisini wenye icho kimchezo huwa wanafanya kweli! Nimeshashuhudia zaidi ya watu 5 wanajifanya kutaniana kwa staili hiyo huku wakifanya kweli! To be honest, maofisini ngono inafanyika vibaya mno!
yaa wengi hufanya kweli, unakuta tangu umeamka mpaka umefika ofisini baby wako hajakujulia hata hali, unafika ofisini mgentleman wa ofisini (unaetaniana nae) anakupokea kwa bashasha zote, chai mnapata wote, lunch wote,bosi akikufokea anakufariji, mara moja moja anakudrive mpaka home!......... kumshinda shetani ngumu hapo jamani!!
ushauri! jiwekeni karibu na wapenzi wenu haswa kimawasiliano.
 
mmmmmhhh ni kweli utani upo but mwingine ni too much ujue?back to my side utani wa hivyo siupendi hata kidogo mkuu na hivyo nisingependa my mwenzi afanye utani wa namna hiyo pia.
ukweli ni kwamba atakapotokea mtu wa tatu,ambae ni mume au mke wa muhusika mmoja wapo katika utani huo hapo ndo linakuwa tatizo but kama ni utani tu wa kiofisini sijaona tatizo.unajua katika mjumuiko wa watu lazima kuna viutani vya hapa na pale
 
Ile huwa ni kweli wanakulana, isipokuwa kuna wengine sio kweli especially kama wanatofauti sana kama vile mfagizi na bosi hapo probability inakuwa ndogo ila hawa peer wanakulana mimi nimeona. Mimi jamanikabla sijaooana na ambaye mke wangi sasa nilikaa naye nikamwambia masharti naye akanipa yake tuka stick kwenye hayo hatuna noma.

mah=sharti yenyewe ni haya:
1. Maswala ya uzungu wa kukumbatiana yasiwepo kwa marafiki hata ndugu - tuliona hayana tija kote maana kumkumbatia dada au kaka yako so what?
2. marafiki zetu kuwaleta home au kuwa nao muda mwingi stop, tuliona tunahitaji muda mwingi sisi wenyewe na marafiki ndio wanaokula mkeo au mumeo au wanakuwa wanajua siri za mmoja wenu sasa tukasema hatuwataki tukikutana nao ni issue muhimu basi.
3. Kuchart kwenye simu tupunguze unless jambo la muhimu
4. No mazoea na majirani kiasi kwamba mtu anakuja kwako hana hata shida wala issue eti kaja kupiga story hamna
5. kuwasiliana uko wapi ni muhimu
6. Alisema maswala ya wasichana wa kazi atadili nao yeye na hataki mimi kuwa karibu nao wala kudai hudunma yoyote toka kwao kama niletee maji au nini
n.k.

ilitupa shida sana ile ya marafiki, kuna siku rafiki yangu nimekutana naye akanikumbatia akaenda kwa mke wangu wife kampoa mkono akatanua ki=fua eti shemeji hapana wife akamwambia no na mimi nikamsindikizia kuwa tuwe na mipaka.

Hivyo utani huwezi uzuia maofisini ila kwa mwenzi wako unaweza. Wapo kina kaka na dada maofisini ambao hawatanii wala kutaniwa. Wengine mashamba ya bibi huwezi kataza.
 
umeona mkuu?ubaya wa utani huo huwa hauishii kwenye maneno tu mnajikuta tayari hata jinsi ya kutendeana inakuwa special tofauti na mamates wenu wengine ofisini humo.
yaa wengi hufanya kweli, unakuta tangu umeamka mpaka umefika ofisini baby wako hajakujulia hata hali, unafika ofisini mgentleman wa ofisini (unaetaniana nae) anakupokea kwa bashasha zote, chai mnapata wote, lunch wote,bosi akikufokea anakufariji, mara moja moja anakudrive mpaka home!......... kumshinda shetani ngumu hapo jamani!!
ushauri! jiwekeni karibu na wapenzi wenu haswa kimawasiliano.
 
True?...
Ndo yale yale 'maumivu ya kichwa huanza taratibuuu'..
Mwanzoni wewe ulikuwa unachukuliaje?

Sio sahihi hata kidogo,mi ilishantokeaga hiyo rafik yangu na mpenz wngu walikua na mazoea yakuitana hivo ila mwisho wake ni mambo ya ajabu yalitokea. Hivo ni vema heshima ikawepo katika hili,japo laweza kuonekana la kawaida tu ila inaeza ikaleta madhara.
 
Huo mzaha wa maofisin huishia kwenye ukweli au kuchukiana. Cha msingi jiheshimu na uwe na mipaka kila mtu atakuheshimu na hakutakuwa na upuuzi wowote.
 
Hili kweli mmeliweza pia mkuu?...vipi JF na kwenye mitandao mingine..
Otherwise, i can see your concern

mah=sharti yenyewe ni haya:
1. Maswala ya uzungu wa kukumbatiana yasiwepo kwa marafiki hata ndugu - tuliona hayana tija kote maana kumkumbatia dada au kaka yako so what?
2. marafiki zetu kuwaleta home au kuwa nao muda mwingi stop, tuliona tunahitaji muda mwingi sisi wenyewe na marafiki ndio wanaokula mkeo au mumeo au wanakuwa wanajua siri za mmoja wenu sasa tukasema hatuwataki tukikutana nao ni issue muhimu basi.
3. Kuchart kwenye simu tupunguze unless jambo la muhimu
4. No mazoea na majirani kiasi kwamba mtu anakuja kwako hana hata shida wala issue eti kaja kupiga story hamna
5. kuwasiliana uko wapi ni muhimu
6. Alisema maswala ya wasichana wa kazi atadili nao yeye na hataki mimi kuwa karibu nao wala kudai hudunma yoyote toka kwao kama niletee maji au nini
n.k.
 
umeona mkuu?ubaya wa utani huo huwa hauishii kwenye maneno tu mnajikuta tayari hata jinsi ya kutendeana inakuwa special tofauti na mamates wenu wengine ofisini humo.
kweli ingawa wapo wanaoweza kuishia kwenye maneno. ila utani unasaidia japo kupunguza stress za kazi. ni muhimu kwa kweli.
 
Kwii kwiii...mie sasa sitaki utani wa karibu na ukweli bana...
Mara kiss..mara sijui kushikana mikono..ndo maana kuepuka hilo nakimbia

unaona tabu sababu ushaanza kumpenda mpenda huyo dada na unataka iwe kweli wakati mwenzio anachukulia utani.... teheeeeee.
 
Kwii kwiii...mie sasa sitaki utani wa karibu na ukweli bana...
Mara kiss..mara sijui kushikana mikono..ndo maana kuepuka hilo nakimbia

umeona sasa, kwani akikukiss na kukushika mkono kuna ubaya gani? au ana dalili zote kuwa anamaanisha hatanii.? lol
 
Back
Top Bottom