Utani wa mchumbaangu/mumewangu/ mumewangu maofisini...mmmmh!

ndio maana siku zote sitaki kufanya kazi sehem moja na mwanamke wangu.
utakata mtu vibao sasa hv.....kumbe utanitu wa kawaida. hapa ofisini kwetu utani kama huo upo saanaaaa...
hata mie ninae baby wangu wa kazini "utani". sasa kama mama nae huko aliko ana bebi wake inakuaje me nikiona na kusikia hayo wanayoambiana!!
 
Palipo na ke na me pamoja na kama hakuna rule of the game lazima haya yatokee..
Na usikute yanaanzia kwenye huu huu utani???

FYI watu wengi maofisini wenye icho kimchezo huwa wanafanya kweli! Nimeshashuhudia zaidi ya watu 5 wanajifanya kutaniana kwa staili hiyo huku wakifanya kweli! To be honest, maofisini ngono inafanyika vibaya mno!

Huko maofisini huko....!
Yanayofanyika huko maofisini....!

... lunch hour inatumiwa ipasavyo... lol..
 
Kumbe hii pia ni sababu!!!..
Inakuwa kama vile amepata 'mbadala'...ryte??

yaa wengi hufanya kweli, unakuta tangu umeamka mpaka umefika ofisini baby wako hajakujulia hata hali, unafika ofisini mgentleman wa ofisini (unaetaniana nae) anakupokea kwa bashasha zote, chai mnapata wote, lunch wote,bosi akikufokea anakufariji, mara moja moja anakudrive mpaka home!......... kumshinda shetani ngumu hapo jamani!!
ushauri! jiwekeni karibu na wapenzi wenu haswa kimawasiliano.
 
yaa wengi hufanya kweli, unakuta tangu umeamka mpaka umefika ofisini baby wako hajakujulia hata hali, unafika ofisini mgentleman wa ofisini (unaetaniana nae) anakupokea kwa bashasha zote, chai mnapata wote, lunch wote,bosi akikufokea anakufariji, mara moja moja anakudrive mpaka home!......... kumshinda shetani ngumu hapo jamani!!
ushauri! jiwekeni karibu na wapenzi wenu haswa kimawasiliano.

yaaa ni kweli kabisa! Caring is sharing lol
 
mmmhhhh kozo okamoto samahani lakini inaonyesha we mshabiki wa utani wa namna hii maanake unavyoutetea haaaaaaaahaaaaaaahaaaaa unanipa raha kwa kweli,em tuambiane lakini we shabiki eeehhh na una mutu yako huwa mnataniana hivi eeehhh??????????

hahahaha mkuu ongea kimoyo moyo basi c unajua waif nae yuko humu japokuwa haijui id yangu na wala mimi cjui yake?
 
Kumbe hii pia ni sababu!!!..
Inakuwa kama vile amepata 'mbadala'...ryte??

yeah ni sababu kubwa tu snowball, mawasiliano ni nusu ya kuonana. sasa kama mpenzi wako siku inakatika hujamsikia wakati ofisin jamaa au bidada anamwaga micare huoni kama hiyo yaweza kuwa sababu ya ukaribu wao kuzidi?
 
True?...
Ndo yale yale 'maumivu ya kichwa huanza taratibuuu'..
Mwanzoni wewe ulikuwa unachukuliaje?

Tangu mwnzo sikuendekeza utani huo na hata ilipotokea kati ya watu wangu hao wawl niliwaonya mapema ila wao wakaona ni utani yaliyotokea ya kutokea sasahiv wanaona aibu. Yale mambo madg tunayodharau ndyo hayo yanakua makubwa siku za mbele,tukumbuke njiti moja ya kiberiti yaweza teketeza msitu.
 
ni wachache sana mkuu, halafu hapo nilipobold ina maana mkeo/mumeo nyumbani hawezi kukupunguzia hizo stress za kazi mara ufikapo nyumbani au kwa kukupigia simu na kukupa maneno matamu ya kukufariji? utani unasaidia japo kupunguza stress za kazi. ni muhimu kwa kweli.[/QUOTE]
kweli ingawa wapo wanaoweza kuishia kwenye maneno. ila utani unasaidia japo kupunguza stress za kazi. ni muhimu kwa kweli.
 
heeeeeeeeeheeeeeeeeeheeeeeeeeee mkuu unanichekesha asubuhi asubuhi hii banah haya naongea kimoyo moyo basi ila usijali sana likilipuka we niite tu nije nitoe ushahidi au kuwa refa kabisa.
hahahaha mkuu ongea kimoyo moyo basi c unajua waif nae yuko humu japokuwa haijui id yangu na wala mimi cjui yake?
 
ni wachache sana mkuu, halafu hapo nilipobold ina maana mkeo/mumeo nyumbani hawezi kukupunguzia hizo stress za kazi mara ufikapo nyumbani au kwa kukupigia simu na kukupa maneno matamu ya kukufariji? utani unasaidia japo kupunguza stress za kazi. ni muhimu kwa kweli.
[/QUOTE]

anaweza lakini kuna ile umekwazwa na boss mnataniana mnasahau na kazi zinasonga mbele mpaka ukifika home ya ofisini yanabaki huko huko.
 
Mkuu SnowBall

Vitu vingi vikubwa vyenye faida na vingine vyenye hasara kubwa vilianza kiutani utani sana.

Ila hivi vinaishiaga kwa hasara sana kwa wengi wao, Na Neno ''Nikajikuta'' huwa ni mwenyeji sana kwenye ndimi zao.

Tized.

Wanabodi Ijumaa Kareem

Natumaini sote tuko poa.

Kuna jambo nimekuwa nikiliona kwenye maofisi mengi ambamo nimepitia na nilipojaribu kuwauliza baadhi ya marafiki zangu wafanyao kwenye ofisi zingine nao kwa bahati mbaya wamekiri kuliona. Jambo lenyewe ni lile la baadhi ya staff wafanyao sehemu moja kuwa na mazoea ya kuitana 'mchumba', 'husband', 'wife'.n.k.

Inawezekana ni jambo la heri tu ..lakini kuna wakati inaletaga utata hasa mahusiano yanapoanza kuwa kama routine. Kiasi cha wengine hadi kuandamana sehemu za lunch pamoja na kuseviana kwenye simu kwa identities kama hizo hapo juu. Sababu za wengi wao kuitana hivi utasikia..'kafanana na mume wangu,'ana jina kama la mke wangu' au utasikia 'yupo kama boyfriend wangu' n.k . Hapa najiuliza tu kuwa ni sahihi kuendekeza hizi identities maofisini??..Make kama sikosei kuna kimsemo cha wahenga kwamba 'Maneno huumba'..Au iko poa tu wakubwa???
 
Ni kweli kwa upande mmoja..lakini kwa upande mwingine kama unaye tayari 'bebi' wa ofisini unaweza kukuta unapoteza hamu na yule bebi wa ukweli..unajua kuna vitu havionjwi au kujaribiwa..ukijaribu unakuta inakuvuta kila siku..na bahati mbaya tunaspend muda mwingi maofisini unakuta ni kama umepata mume au mke mpya...


yeah ni sababu kubwa tu snowball, mawasiliano ni nusu ya kuonana. sasa kama mpenzi wako siku inakatika hujamsikia wakati ofisin jamaa au bidada anamwaga micare huoni kama hiyo yaweza kuwa sababu ya ukaribu wao kuzidi?
 
Pole sana..
At least you can speak ya mind...

Tangu mwnzo sikuendekeza utani huo na hata ilipotokea kati ya watu wangu hao wawl niliwaonya mapema ila wao wakaona ni utani yaliyotokea ya kutokea sasahiv wanaona aibu. Yale mambo madg tunayodharau ndyo hayo yanakua makubwa siku za mbele,tukumbuke njiti moja ya kiberiti yaweza teketeza msitu.
 
Watu watabisha tuu ili waonekane wasafi na hawasupport ujinga, kiukweli utani upo sana maofisini na hata kufikia hali ya kukumvatiana na kukissiana kwenye mashavu. Mi nasema ukweli ofcn kwetu huo urani upo na wanaofanya si vijana tuu na wazee waliobakisha miaka 2 kustafu wanafanya wake kwa waume.
Cha msingi na cha sekondari ni mtu kujiheshimu, ukiona utani huuwezi ukimbie na uepuke, ukiona huwezi kutofautisha utani na ukweli waache wengine wataniane.
Mtoa mada mie nataniana sana ofcn ila nikitoka mlango wa ofc tuu adabu na heshima na hata kama tukikutna mtaani au nje ya ofc baada ya masaa ya kazi ni salamu tuu hakuna mjadala na wanajua hilo ila nikifungua tuu mlango wa ofc asubuhi utani kwa sana na kazi zinaenda vilevile.
Siri ya utani maofcn inapunguza stress za kazi na kufanya maisha yawe rahisi sio umenuna tangu asubuhi hadi jioni ila si lazima uniige mie na utani ukizidi huletaadhara pia, urani ukiwa baina ya wawili tuu huleta shida ila ukiwa wa wengi hunoga.
 
umeona sasa, kwani akikukiss na kukushika mkono kuna ubaya gani? au ana dalili zote kuwa anamaanisha hatanii.? lol

Hakuna ubaya kupigana mabusu ya kiutani? We Husninyo wewe!.. mwanaume akishapewa uhuru kiasi hicho lazma apitilize, leo unampa peg.. kesho atataka lip kiss.. then mwisho wake lazma uwe laid...
.. ngono nyingi huwa zinaanza na utani huu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom