Haya usiku mwema jamani. Poleni sana kwa kupiga Lampard a.k.a pasi ndefu. Mnalala bila kula hahahaha labda kama nyie walinzi. Tchaaoooo
Hahahahaaaa....nyooo kama nakuona ulivyokalia mlima wa ugali matembele hapo.....ama kweli ukizoea vya kunyonga....
naomba nikuulize.. hivi first born wetu humuitagi njoo sweetie? na yule mdogo wake humuitagi honey? hapa kosa langu lipi mke wangu? kumpenda mamaako ambae ni mamaangu pia?
unajitetea tu, mie hapa leo sisikii la muadhini wala mnadi swala
Douta kesho njoo hom
sasa mshua mbona hiyo ni siri yetu me na bi mkubwa?
Af na wewe usijifanye kunijua saanaa...
mama mkwe nakuheshimu..naomba kumjua babamkwe wangu kati ya wafuatao..
hii ni swali la siri.. ninong'oneze kama nikivyokuuliza..
1. Eli79
2. Viol
3. Mokoyo
4. Ntuzu
5. Asprin..
au kama sijamtaja we niambie tu ili nimjue...
hao niliowataja kwa mazingira fulani nimewaona kama na wenyewe ni baba wakwe..
unaninimix...
SIRI YETU.
Aiseee watoto wa siku hizi hamna adabu yani baba yako unamuita mshua?......lol
Lazima akimbie Yule my douta!
Ila mtoto wangu wewe ni mtoto mzuri sn! Yani unapenda sn ndoa yangu na mama yako iwe na Amani!
shikamoo honey..
Mkwe.....kwa nini unamensheni watu ambao hawapo hapa? Ukiweza kuedit hebu edit bwana
unajitetea tu, mie hapa leo sisikii la muadhini wala mnadi swala
Honey Faith my sista, nilisahau hadi kukusalimia kisa kulichamba hili asha boko lilomuinamisha kaka yetu
Shem kwema....nani honey wako hivi mbona sijaelewa..