Utani huu vipi jamani?

Acha nao mpnz wangu! Huyo Heaven Sent kwanza hakufikii kwa uzuri wako mpnz wangu! Ndio maana ka bwana kake kalikua Mara beby Mara kanakuita swty! Kz kweli kweli!

Hahaahhaha na wewe zoba huyo zuzu sijui kakupa limbwata. Daily kinachepuka but still unamganda tu. Afu usimpe moyo huyo sanamu la michelin, mbele halichezi, nyuma halitikisiki. Kijitu kibayaa na miguu yake iloenda yote upande mmoja, sijui kana polio hako, mkomwe kama dafu la kimbinji, sura ya mjomba ake. Yani ni shida tu coz ni bora ya aunt yake mbuta nanga hahaha
 
Last edited by a moderator:
Weee tena mkataze huyo kidampa wako kumkaribia honeypie wangu. Kamganda kama ruba, nahisi kuna vitu humpi vizuri huyo sio bure



Atakujibu mwanamke mwenzio Alafu ujiulize kulikoni kutwa nzima Huyo bwana wako anamsumbua mke wangu?
 
Weee tena mkataze huyo kidampa wako kumkaribia honeypie wangu. Kamganda kama ruba, nahisi kuna vitu humpi vizuri huyo sio bure

Hivi yule bwanako aliyekimbia majibu angaza yuko wapi Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:



Hahahaaaaaa nimekuchokoza dada yangu Heaven Sent

Mtasema sn Mara sijui limbwata Mara anachepuka Lkn simuachi ng'ooooo na mbaki na vijiba vya roho lol!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaaaa......makubwa kweli nyani haoni nanihii yake....cosmetics nlizokuwa nakununulia walau zilikuwa zinakubeba....sasa hivi umenyea kambi sijui hata utaficha wapi sura yako. Huyo Viol anayejishaua hapa kesho asubuhi atakukimbia lol
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa nimekuchokoza dada yangu Heaven Sent

Mtasema sn Mara sijui limbwata Mara anachepuka Lkn simuachi ng'ooooo na mbaki na vijiba vya roho lol!

Sio kosa lako wewe, kakuinamisha huyo mwanamke alokomaa kwa kuchana mbao. Kalaghabaho
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa......makubwa kweli nyani haoni nanihii yake....cosmetics nlizokuwa nakununulia walau zilikuwa zinakubeba....sasa hivi umenyea kambi sijui hata utaficha wapi sura yako. Huyo Viol anayejishaua hapa kesho asubuhi atakukimbia lol

Cosmetics zipi? Mtoto natural kama misitu natumia vasseline blue seal na glycerine ya Zambia. Kazi kwako ulozoea mikorogo ya kijiko kimoja buku. Sura imekuparama kama chapati ilokosa mafuta. My hubby Viol ni namba nyingine, tunachezea hela kama mchanga. Kazi kwako na huyo msukuma anayesubiri urithi wa ng'ombe
 
Last edited by a moderator:
Sio kosa lako wewe, kakuinamisha huyo mwanamke alokomaa kwa kuchana mbao. Kalaghabaho



Mtasema sn Lkn simuachi na polini tunakwenda wote kuchana mbao! Mi ndo Fundi wa kuchana mbao!
 
Sio kosa lako wewe, kakuinamisha huyo mwanamke alokomaa kwa kuchana mbao. Kalaghabaho

Hahaaaa kuinamishwa ainamishwe mwingine kizunguzungu usikie weweee au ndo staili za kumnyemelea mume wangu....hapa umekwaa kisiki bibi wee hupati kitu
 
Hahaaaa kuinamishwa ainamishwe mwingine kizunguzungu usikie weweee au ndo staili za kumnyemelea mume wangu....hapa umekwaa kisiki bibi wee hupati kitu

We kwenda huko, nani alitake hilo joka lako la kabisa
 



Wewe nenda pale GGM ukaangalie mikataba uone ngosha mie navopiga pesa! Ng'ombe ni Nyama choma tu ya wageni!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa natural my foot...umependa kubaki na makinyanzi hayo au huna hela unajishaua tu hapa? Kinachokusaidia wewe ni uwezo wako wa kubadili mabwana.....utaishia kupata hela ya lipstic tu hufiki popote na kuolewa huolewi ng'ooo....nasubiri huo uchumba wenu ufikishe miaka kumi na sita
 
Last edited by a moderator:
Wewe nenda pale GGM ukaangalie mikataba uone ngosha mie navopiga pesa! Ng'ombe ni Nyama choma tu ya wageni!

Hahaaaa switie mwambie huyo...anadhani ndo yeye anayesubiri kuuza ndizi ndo anunue gauni la krismasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…